Chezea paka wewe, Angalia kilichomkuta huyu na paka wake😂 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

Sunday, March 24, 2019

Chezea paka wewe, Angalia kilichomkuta huyu na paka wake😂

20190326_124716

jokatebc

Jamaa alichukua paka wake na kwenda kumtupa
mbal,aliporudi nyumban alimkuta paka
amekwisharudi,jamaa alikasirika sana.
Siku ya 2
akamchukua na kwenda naye zaid ya kilometa 50
akapiga chochoro za kutosha kisha
akamtupa,akaanza safar ya kurud nyumban
baada ya muda akampigia cm mkewe.Vp mke
wangu huyo paka yupo? MKE:Ndio mume wangu
tena ametulia hapa kwan imekuaje? JAMAA:hebu
mpe cm anielekeze njia ya kurud nimepotea😳
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
*_aiseeeeeee _*

😁😁😁😂😂😂


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome

 

  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI





from UWANJA WA MAPENZI https://ift.tt/2Frx7HD

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad