Habarini Wadau,
Hilo nililoliandika nimelifanyia utafiti wa kina.
Tofauti na mabinti/wanawake waliosoma courses zingine…waliosoma Law wengi hawajaolewa ila wanamegwa tu kisela na wengi wao wana mtoto au watoto ila hawana waume.
Sababu kubwa ni hizi:
◆ Hakuna Mwanaume anayetaka kuletewa vifungu vya sheria kwenye nyumba yake na ujinga ujinga wa haki sawa.
◆ Wanawake wa hivyo wanakuwaga na ukatili na kujiamini kupita kiasi, nafikiri ni kutokana na hukumu wanazosoma
◆ Wakati huo huo waalimu ndio wanaoongoza kwa kuolewa na kuishi vizuri ndoani.
Nawasilisha.
Azarel
Azarel
Pata Ajira Ya ndoto yako yenye mshahara mnono na Masharti (Experience) nafuu ukiwa na App ya ajira forum Ajiriwa sasa 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
No comments:
Post a Comment