Miaka Sita ya Mahusiano Na Sioni Dalili Ya Ndoa, Naomba Ushauri Wako. - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, March 14, 2020

Miaka Sita ya Mahusiano Na Sioni Dalili Ya Ndoa, Naomba Ushauri Wako.

Image result for love on social media


Mimi ni msichana wa umri wa miaka 27. Nimekuwa katika uhusiano wa kimapenzi na kijana mmoja  kwa muda wa miaka sita sasa. Isitoshe sisi ni majirani wa karibu. Aliniahidi atanioa, lakini kwa jinsi muda unavyokwenda naona kama kuna tofauti. Nahofia kuachwa.  Naombeni  ushauri  jamani .



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa