Nimeona na kushuhudia WANAWAKE wazuri wasio na makuu ambao waliolewa na wanaume ambao waliwaumiza kihisia, kiuchumi na kuwamiliza kabisa kiroho. Nimeshuhudia WANAUME ambao walikuwa na maisha mazuri, uchumi uko poa, wakamalizwa kila kitu kwa kuwa na mahusiano na wanawake wasio sahihi. Ni mwaka 2020, na Shetani bado anatumia watu wale wale na hana mbadala wa kumtumia katika kuwaharibu na kuwamaliza wale wenye Kesho yao iliyo njema...kuwa makini, sio kila anaetamka ANAKUPENDA anamaanisha. Heshimu sana Dalili mbaya unazoziona. Kuwa na hekima ya Mungu na busara kuwatambua.
Sunday, March 15, 2020
Home
Unlabelled
HESHIMU SANA ZILE DALILI MBAYA ZA MAHUSIANO YAKO NA UFANYE MAAMUZI MAANA ZINAWEZA ZIKAKULIZA MILELE.
HESHIMU SANA ZILE DALILI MBAYA ZA MAHUSIANO YAKO NA UFANYE MAAMUZI MAANA ZINAWEZA ZIKAKULIZA MILELE.
About Uhondo kitandani
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment