USHAURI KWA WANAOTOKA NA WAUME ZA WATU MCHUNE ACHUNIKE ASHIKE ADABU - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, February 17, 2020

USHAURI KWA WANAOTOKA NA WAUME ZA WATU MCHUNE ACHUNIKE ASHIKE ADABU

Mercy Aigbe(42) muigizaji maarufu Nigeria amejitosa kuwapa ushauri kinadada wanaotembea na waume za watu. Amesema usikubali kununuliwa maua au chocolate na mume wa mtu badala yake hakikisha unamchuna pesa mwanaume huyo hadi achunike sababu ni mwanaume wa mwanamke mwingine sio mali yako hivyo ukiwa Kama mchepuko usiishie kupotezewa muda wako au kujifanya una mapenzi ya kweli kwa mume wa mwanamke mwenzio bali na wewe faidika kwa kumchuna pesa za maana
Single mama huyo wa watoto wawili, amesisitiza kuwa kichwa chako kinahitaji kufanyiwa uchunguzi ikiwa utaishia kukubali kununuliwa maua na chocolate kupotezewa muda na mume wa mtu 




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa