Msimu wa wapendanao al maarufu, Valentine’s day uko nasi na hii leo kama kawaida wapenzi ama wana ndoa huchukua fursa hii kuonyesha mapenzi yao.
Njia ambazo wapendanao hutumia siku hii huwa; Kutembelea hoteli za kifahari ama zilizo na mandhari spesheli. Wengine huchukua fursa hii kusafiri hadi puani huku wengine wakitalii na wapenzi wao nje ya nchi.
Kando na maua, chokoleti, divai na nguo nyekundu, ni muhimu kuwa na njia nyingi za kuzuza hisia zako au za mpenzio ukingoja siku ya valentines.
Leo tumekuandalia nyimbo 10 za wasanii wa humu nchini ambazo zitakupa hamu na ladha ya valentine’s huku zikisisimua hisia zako.
10. Otile Brown x Sanaipei Tande – Aiyana
9. Elani – Joto
8. Nyashinski – Malaika
7. H ART THE BAND – UKIMWONA
6 GILAD – UNAJUA FT WENDY KIMANI
5. Madini Classic ft Gilad – Pure Love
4. Pascal Tokodi – Sitaki
3. Kelechi Africana — RING
2. Nadia Mukami – African Lover
Photo Credits: courtesy
No comments:
Post a Comment