Mwanamke wa kuzaa nae - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, February 18, 2020

Mwanamke wa kuzaa nae





Wadau nafahamu watu wana mahitaji tofauti tofauti hapa. 
Nimeona kuna wadada/wanawake wenye uhitaji mtoto na huwa wanatafuta mtu mwenye muelekeo ili waweze kupata mtoto pamoja. 
Sasa ipo hivi; Mimi ni kijana miaka 34 ; Mkristo 
Elimu yangu ni Degree moja; nipo natafuta ya pili kwa sasa. 
Makazi Dar es salaam. 
Nina watoto wawili lakini nina uhitaji wa kuongeza mtoto mwingine. 
Nimezungumza na mke wangu (yeye sio Mtanzania) na amekubali kwa kuwa yeye kwa sasa anafocus kwenye career yake na hana na haitaji mtoto mwingine. 
Sasa basi tupunguziane matatizo
Kama yupo mdada/mwanamke mwenye uhitaji wa mtoto (tutamlea pamoja na nitatoa huduma zote katika malezi). 
Sifa: 
Dada/mwanamke 
Dini: Sio kigezo (hatuji kufundishana dini wala kuswali). 
Ila kama itakuwa ni Mkristo basi tutakuwa tukienda kwa ibada pamoja.
Makazi yawe Dar ili tupate muda wa kumlea mtoto pamoja. (Ni muhimu sana mtoto akikua huku akimuona baba na mama pamoja).

Umbile: Asiwe mnene sana ( sio tu kuwa mama lakini tutakuwa tukiambatana kwenye matukio mbalimbali na Mimi nina mwili wa wastani tu hivyo ili tu-match). Mabinti wanene wa wastani karibuni pia.
Asiwe mrefu sana (napenda short chasis zilizojaa vizuri). Wale wenye mwili wastani karibuni pia.
Mdada/mwanamke mwenye kuwa na tabasamu (napenda furaha).
Rangi: Maji ya kunde au mweupe kidogo.
Awe na ajira/biashara yoyote ( nakuja kuwa mzazi mwenza sihitaji senti tano yako lakini kujishughulisha ni muhimu).
Kama yupo mwenye uhitaji na sifa hizo. Karibu sana PM.
Hubebi tu mimba bali unakuwa mzazi mwenza na mpenzi wa kudumu.
Maswali na makubaliano mengine tutazungumza.




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa