Msaada : zawadi gani nimpatie huyu mrembo? - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, February 9, 2020

Msaada : zawadi gani nimpatie huyu mrembo?

Habari za asubuhi hii wadau.


Nitajitahidi huu uzi uwe mfupi kweli kweli.


Ni hivi kwa wale mlio bahatika kupitia ule Uzi wetu wa Seniors Bachelor militia ahadi kwamba huu mwaka hili chama nitawaachia akina Extrovert.


Sasa nikiwa katika harakati za kujiunga kny lile chama ambalo amejiunga @Mwifa hivi karibu imejitokeza vitu ambavyo binafsi vimenishinda hadi kupelekea kuja hapa kuomba msaada kwenye tuta.


Ni story ndefu ila naomba niifupishe.


Shemeji yenu mtarajiwa Birthday yake ni mwezi huu tarehe 13. ktk harakati zake alipendekeza kuwa badala ya kusherekea birthday yake mwezi huu itabidi aisogeze mbele hadi May atakapokuja ili tu cerebrate pamoja ambao ndio mwezi tuliopanga kufanya engagement na baada ya hapo tuzungukie familia za pande zote mbili kwa utambulisho rasmi.


Ghafla bin vuu bibie akaibika na kudai kuwa BD yake ni kitu mhimu sana hivyo lazima sherekee. Nimemsapoti kwa asilimia mia na tumekubaliana kuwa Tukutane Dubai ili kusherekea. Ticket na Hotel tumesha book hapa nasubiri Visa tu.


Hapa nina changamoto ni zawadi gani nimpe huyu bibi siku hiyo? Wadada mnisaidie hapa.


Binafsi nilitaka kumsaprize na engagement ring; sasa nikifika hapa nakwama kwenye Pete maana Pete zote nilizoulizia zinaanzia. $ 1000- 1680 je nikienda kwa sonara pete kama hizi naweza kupata kwa bei nafuu? Msaada pia unahitajika.


Sehemu niliyopanga kumsaprise huyu shemeji yenu kipenzi ni hiii hapa












God save us






No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa