Msaada nawahi kufika kileleni na naenda mzunguko mmoja tu chali - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Friday, February 7, 2020

Msaada nawahi kufika kileleni na naenda mzunguko mmoja tu chali


msaada mimi nikijana wa miaka32 nimeoa nimekua natatizwa ama nasumbuliwa na swala la kuwahi kumaliza wakat wa sex.
shida imekuepo tangu naaza mapenzi nikiwa na umri wa miaka 20 mpaka naoa hadi sasa nikiwa katika ndoa nilijaribu kwenda hospital ya Tikaya ya Dr Kapona niliambiwa nina upungufu wa testestorone horme nikapewa dawa ya miezi mitatu ya kubust lakini sikuwa namabadiliko yoyote.

baadae baada mwaka nikaenda kwa urology speacialist pale Tumaini hospital nikaonana Prof YONGOLO nkapimwa kila kitu.
prostate, presha, sugar, kidney, liver, bladder, flow ya mkojo, cholestorel vyoote vilionekana niko sawa ikabidi niandikiwe dawa ya zahel na spray mbili za kupulizia katika uume ili nidelay katika tendo moja inaitwa VEGA na nyingine ina itwa CYDOCLINE. Nilikaa navyo kwa muda wa miezi mitatu sIkutumia hata dawa moja.
Baadae kama miezi sita kupita nlikwenda MUHIMBILI nikaona pia daktar wa urology napo nlipimwa kila kitu skuonekana na shida yoyote Daktar wakasema wewe huna shida hatuwezi kukupa dawa ni akili yako tu imejiaminisha hivyo kuwa una tatizo lakini huna tatizo na muda unaotumia kusex wa dk8 unapizi nisawa kabisa wanaume wote tuko hivyo.
Ila kurudia round nyingne inategemeana na mwanamke ulienae ushirikiano wake kwako ili uweze kurudia kwahiyo upo sawa. Na hata huyo Daktar wa Tumaini aliekupa hizo dawa sisawa we nenda upo sawa.
basi nkaondoka na mawazo yakuwa niko sawa nanikawa najiaminisha kuwa sina shida yoyote nakuanza kujiamini zaidi lakini kila nitakapokutana na mwanamke ni bao moja tena la dakika5 nikijizuia hadi dk10-15 nikikojoa siwezi tena kurudia tena. Hali ikaendelea hivo japo nIkawa najijengea comfidance nakuamini sina tatizo ila kila nIkiwa katika tendo hali inakua tofauti.
baada ya kupita tena kama mwaka kuna mtu humu humu jf alielekeza kuwa kuna dr yupo aga khan alimsaidia sana kwenye swala kama langu. Basi nikajichangachanga nikaenda AGA KHAN nikaonana nahuyo UROLOGY Specialist DR ZAHIR AKBAR nako nilipimwa kila kitu figo, korodani, tezi dume, kibofu, ini,presha, sukari nikaonekana niko sawa ila akaona katika tezi kuna infection kidgo ila akasema infection haiwezi kuleta hiyo tatizo akaandika dawa na yeye akashauri ni akili yako na mtu ulie nae na hizo dk unazotumia kumaliza tendo nisawa tu hakuna shida huna tatizo
Nshaonana mpaka na mwanasaikolojia pia DR CRIS MAUKI akanishauri kujiamini vyote navitekeleza lakini wapi najitahid kula vyakula asilia naepuka mafuta mafuata.




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa