LUGHA IPI YA MAPENZI INAYOKUFAA? NA MWENZA WAKO JE? - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, February 1, 2020

LUGHA IPI YA MAPENZI INAYOKUFAA? NA MWENZA WAKO JE?






 Utajuaje Lugha  ya mapenzi inayomfaa mwenza wako?  Kila mtu hupendelea kitu tofauti.

Moja ya furaha ambayo nilikuwa nikiitafuta maishani, ni kwamba mimi sio kama watu wote wanavyofikiri. Nilikuwa nikijua kuwa mimi ni zaidi ya watu wengine, na ni chini ya wengine kuliko ninavyofikiri.

Nilikuwa napigania kutoka mahali fulani ili nifike ninakotamani kufika.  Nikatambua kuwa wapo watu wengi wanafikiri kama mimi.  Wanahangaika kuliko mimi. lakini sikujua jinsi gani kila mtu anajitafuta mwenyewe.

Kwa upande mwingine . ni rahisi kufikiri kuwa watu wako kama mimi lakini sio, mpaka hapo nilipoelewa.

Aina Tano Za Lugha za Mapenzi.

Watu huonyesha mapenzi kwa njia mbalimbali, kila mtu na njia yake, na watu hujisikia kupenda na kupendwa kwa njia tofauti tofauti. Mtu yeyote anaweza kujisikia kupendwa pale tu mtu anapoonyesha lugha yake ya mapenzi. kama mapenzi yanaelezea lugha tofauti, Kwa hio  Upendo wa kweli haujawahi

Lugha hizi ni …

Ukiri wa Maneno

Thamani Ya Muda na Nafasi

Kupokea Zawadi

Mguso wa mwili.

Kama mmoja anapenda na kujisikia kuhudumiwa vizuri na mwingine anapenda  kupewa Muda tu , basi kutakuwa na shida mahali.

Ni vizuri kufahamu mwenza wako anapenda  lugha ipi ya mapenzi, vinginevyo hata kama ukaonyesha kiwango kikubwa cha upendo kama hujagusa anachohitaji ni kazi bure, hawezi kujisikia kupendwa.

Unawezaje kujua lugha ya mpenzi wako? Jiulize swali Kitu gani mwenza wako huwa analalamikia? Anathamini nini? hamtumii muda kwa pamoja , hamtembei  pamoja. kama mwenza anapenda zawadi kubwa halafu wewe kila siku unapeleka pipi, hamtaelewana.

Jiulize utawezaje kuonyesha upendo wako? lakini pia ni kitu gani kinampa mwenza wangu furaha? lazima ukielezee unachokipenda  ili mwenzako akijue.

Mwingine anaweza kusema kwake yeye lugha ya mapenzi huja  yenyewe, sihitaji mguso wala kutumia pesa ili kupata zawadi, kwa jinsi hio lugha yako haitaeleweka.

Jaribu aina zote tano ili ujitambue uko kwenye ipi.

Kutafuta maarifa ni kutafuta Furaha. na ninafikiri njia hii  itasaidia mahusiano kupona kwa haraka. Kila mtu ajifahamu mwenyewe vizuri, na mwenza wake, na hata nje ya mapenzi.



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa