Katika mahusiano; kwa mara ya kwanza, mwanaume ataangaika na atatumia kila njia ili aweze kumpata mwanamke,na ikiwezekana atatumia kila ushawishi na baadaye anafanikiwa. Sasa baada ya kuzoeana na kupigana mipini ya hapa na pale, na baadaye kuchokana; na mwanaume kuamua kuvunja uhusiano,mwanamke huwa anateseka sana....sasa yeye ndio anakuwa anatumia ushawishi mwingi ili aweze kuendelelee kuwa na huyo mwanaume (mpenzi wake) kwenye mahusiano. Wakuu kwa nini inakuwa hivi?

No comments:
Post a Comment