Idadi ya wanaume walio na matatizo ya nguvu za kiume yaongezeka - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, February 18, 2020

Idadi ya wanaume walio na matatizo ya nguvu za kiume yaongezeka





NA NICKSON TOSI
Idadi  kubwa ya wanaume wanaotembelea vyumba vya kutathmini mbegu za uume jijini Nairobi wamepatikana kuwa na upungufu wa  mbegu hizo kwa kiwaongo kinachohitajika.

Utafiti uliofanywa na hospitali kuu ya Kenyatta ulionyesha hili ni tatizo ambalo limekuwa kwa kasi zaidi miongoni mwa wanaume,mwaka 2013,asilimia 13 ya wanaume waliotembelea kliniki ya KNH ya kutathmini mbegu za wanaume walikuwa upungufu wa mbegu hizo ,mwaka 2018,idadi ya waathiriwa iliongezeka hadi asilimia 14.12.
Matokea hayo yalifikishwa katika mahabara kuu ya kufanya utafiti yaani Kenya Medical Research institute katika kongamano la 10 la kila mwaka la sayansi na afya lililofanyika Nairobi.
‘This study showed a significant increase in the proportion of men affected by the azoospermia when compared with 2013 study from KNH’,mtafiti Deninis Chalo  alisema.
Chalo vile vile anasema kuwa utafiti wa kutathmini mbegu za wanaume ni muhimu kwani ni rahisi kufanya vipimo na ni muhimu manake hutoa ujumbe kwa wengi ambao hawakuwa wanafahumu tatizo hilo.
Azoospermia ni ukosefu wa mbegu za uume katika chembechemce zinazobeba mbegu hizo yaani Semen ,na hutokea kwa agahlabu asilimia 1 ya mwanaume na asilimia 15 ya wanaume ambao hawana mbegu za uume haya ni kulinganna na shirika la afya duniani WHO.
Tatizo hilo husababishwa na  shida za Pumbu ama Testicles na hutibiwa kwa wakati iwapo mwathiriwa ataripoti kwa wakati.
A total of  85 semen analysis reportes were studied ,almost half of the men were between 30 and 39 years age and most[50 out 85 ]reported that they did not have children ‘,Aliongeza Chalo
Utafiti huo ulionyesha kuwa asilimia 48.24 ya wanaume walikuwa na viwango tajika vya mbegu za kiume na idadi inatosha kumfanya mwanamke kuwa mjamzito.
2017,Dr Jamleck Muthuuri kutoka Mombasa ambaye alifanya utafiti kutokana na ongezeko la wanaume kuwa na viwango vya chini vya mbegu za uume ,alisema kinachosababisha shida hiyo ni kutokana na jinsi watu wanavyoishi ,vile vile alibaini kuwa njia mwendo wa mbegu hizo katika baadhi ya wanaume huwa wa chini ikilinganishwa na mwendo wa kasi unaostahili.
Uchunguzimwingine ulibainikuwa wanaopatikana na matatizo hayo mbegu zao huwa hazina shepu inayotajika kama ya kawaida ambayo huwa ya duara ama shepu kama ya yai.




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa