Ukiona unapitia hili kwa kila mtu jichunguze kwanza!! - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, January 5, 2020

Ukiona unapitia hili kwa kila mtu jichunguze kwanza!!



Haiwezekani kabisa umekuwa kwenye mahusiano mara tatu au nne au zaidi ya hapo na mahusiano hayo yakakushinda mkaachana au ukaachwa halafu bado unaendelea kudate huku ukilalamika kwamba hao wapenzi wako ndio waliokuwa na matatizo. Jichunguze kwa makini, unashida wewe na sio wao, na usipobadilika basi nakushauri mahusiano waachie wanaoyaweza wewe endelea kuijenga Tanzania yetu ya viwanda. Haiwezekani embe kila mteja analikwepa halafu muuzaji aseme wateja ndio wanashida. Hapa embe ni bovu na muuzaji ni kichaa. Sasa kajiulize vema wewe ni embe au muuzaji. Usiingie mwakampya na hizo tabia. Utadoda



  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa