Ushawahi jiuliza kama mwanaume unayekuchumbia ni bikira? Kwa ukweli, ni rahisi kujua mwanamke bikira kuliko mwananume Hizi hapa mbinu nne zitakazokusaidia kumtambua mwanaume bikira.
1. Tabia yake Huwa mwenye haya Kama hujafanya mapenzi naye, tazama tabia yake tu kwa jinsi anavyozungumza na kukaa na wanawake wengine au pia wewe. Kama hajawahi fanya mapenzi, anaweza kuwa ni mwenye kuona aya kwa wasichana. Ukimtazama wakati unambusu au mko pamoja, utamwona akiogopa kukushika sehemu ambazo huleta msisimko wa mapenzi.
2. Mfanyie mtihani mdogo Tafuta siku moja umuite mahali wajua nyie ni wawili tu. Mwonyeshe mapenzi si haba hata kumpa matumaini ya kufanya mapenzi ila tu usifanye. Wanaume bikira hufurahi sana ila huwa hana uhakika wa jinsi ya kufanya au hata kuanza. Utamtambua tu kwa sababu atakuwa mpole sana kuanza au mwenye mbio kupita kiasi. Huwa hawana uzoefu wa mapenzi kwa jumla.
3. Anaweza kukufungua bra? Kama hajawahi fungua komeo la sidiria au akichukua muda mrefu zaidi, huyo aweza kuwa bikira.
4. Jogoo lake Wanaume ambao ni mabikira hawajui jinsi ya kuweka jogoo ndani ya mwanamke. Hii ni kwa sababu hawa uzoefu.Saa zingine wakati wa kuingia, wanaume hao huhisi kibarua kikiwa kigumu na jogoo kupoteza nguvu. Wakati mwingine pia hutoa damu.
No comments:
Post a Comment