KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA KUMI NA SABA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, January 4, 2020

KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA KUMI NA SABA







ILIPOISHIA SEHEMU YA KUMI NA SITA : Nikweli mwanzo Ziada alizania kuwa Matira yupo pale kama kawaida yao, maana uwa wote kila mala, lakini kila dakika zilivyoenda ndivyo, Ziada alivyo anza kupata picha harisi ya tukio linaloendelea, maana aliona dakika zina zidi kusonga bila kuonekana Rose wala rafiki yao Joyce, na mbaya zaidi aliweza kuona michezo ya kimahaba kati ya Kipanta na Matrida, “mh! hapa kuna mchezo unaendelea” aliwaza Ziada, ambae aliona pengine hii ianaweza ikawa nafdasi yake ya kutengeneza urafiki na Rose, mschana mrembo mzuri na mwenye fedha, “baby nakuja” alisema Ziada akiokota simu yake mezani na kuelekea nayo chooni,……….. endelea …..
Naam mimi na wewe  hatujuwialicho kifanya Ziada,ila ukweli ni kwamba, ata mala baada ya kurudi toka chooni, Ziada alionekana ana chati mala kwamala, kwa muda mrefu kama lisaa lizima hivi, ilibakia kidogo agombane  na yule jamaa alie kuwa nae, akizania kuwa anachati na mwanaume mwingine, mpaka alipo mwonyesha  ya sms alizo kuwa anatuma na kupokea, “vipi bado wapo?” ilisomeka sms aliyotumiwa ziada, toka kwenye namba iliyo ifadhiwa kwa jina la Rose wa Saloon, “ukiingia tu moja kwa moja tazama upande wa kushoto, nyuma ya hapo walipo park magari” ndivyo ilivyo jibiwa sms hiyo na Ziada, “sasa wewe yana kuhusu nini?” aliuliza yule jamaa, huku ana mrudishia simu yake, “yani baby unge juwa, ungeenda kumshahuru yule mzee, yani unaamibiwa amestaafu sasa ela yote kazi kuwaninilia manawake mala majumba mala magari, naona nahuyu ameamua kuimfirisi mzee wa watu” alisema Ziada akitazama kule walikokaa, wakina Matrida na Kipanta,  “kumbe ni elaya kustaafia?” aliuliza yule jamaa kwa mshangao, huku anageuka na kutazama upande, na wakati huo huo,wote wawili wakamwona mwana dada mmoja matata sana anaingia eneo lile, kwa mguu, alikuwa peke yake, kwa uzuri wa mschana huyu, ata huyu jamaa alie kuwa amekaa karibu na Ziada akajikuta imemchomoka bila kutegemea, “duh! ebwanaeeee” japo ilimkela sana Ziada lakini akuijari, kutokana na kwamba ana ufahamu uzuri wa mshana huyu, “huyu ndie Rose” alisema Ziada huku wakimtazama yumschana mrembo alie timia,ambae sio wao peke yao tu! waliokuwa wana mtazama, nikaribu watu wote waliokuwepo eneo, lile waligeuza shingo zao kumtazama  Rose, kiasi cha wanaume wengine kugombana na wanawake walio kuwanao pale bar, kwa lengo la kusherehekea chriss mass.
Idado luwa ya watu ili mshuhudia mschana huyu, alie valia suruali ya jinsi na tishe la kubana, na chini alivaa viatu vya kudumbukiza, vya chini, yani visivyo na visigizo,wenyewe wanaita simple, (simpo) mavazi ambayo yali wafanya watu waone jinsi umbo mwanana la mschana huyu mwenye kujaliwa sura nzuri lionekane vyema kabisa.
Na kwa upande wa Kipanta na Matrida ilikuwa ni jambo la kushtukiza kwao, maana walishangaa kuona watuwanaangalia sana kule waliko wao, na walipo geuka kutazama watu wana shangaa nini, ndipo walipo mwona Rose, ana wasogela huku ame kunja sura kwa hasira, ukweli walishindwa ata kunyanyuka na kukimbia, kutokana na kuishiwa nguvu za miguu, na kubakia wakimtazama Rose akiwa fikia pale walipo na kukaa kwenye kiti kilicho kuwa wazi, “aya we Matridandio nini kuamua kutembea na huyu mzee wakati unajuwa nipo nae?” aliuliza Rose mary kwa sauti iliyo jaa hasira, hapo Matira akuweza kujibu kitu, akabakia ame inamisha kichwa chini, kwa aibu, “Matrida unamfahamu huyu mtu, mpaka una amua kujiingiza?” aliuza tena Rose, swali ambalo ata Kipantamwenyewe alilichukulia kama ni maumivu ya mapenzi, na kutaka kuvuruga penzi lake jipya ambalo ata jana akulifaidi kutokana na kuzidiwa ulevi, “sikia Rose naomba unisamehe, tuka yaongelee nyumbani, aliongea Kipanta kwa sauti ya kubembeleza, “hapana Kipanta, inatosha, inaonyesha nyie mme anzasiku nyingi kuwa wapenzi, sasa unataka tuka yaongee manini?” aliuliza Rose kwa sauti ya juu, huku watu wotewaliokuwepo eneo lile wakiskia na kuzidi kutege masikio, wengine wakitoa simu zao na kuanza kuchukuwa video za tukio lile, “lakini ni wewe mwenyewendie ulie sababisha, “ aliongea kwa kupiga kelele Kipanta na kuzidi kuwa vutia watu, Roseaka tulia kwa ukweli huo, “ulinizimia simu, na kuniacha mimi nateseka mahabusu” alisema Kipanta, na hapo nikama Rose alipata cha kuongea, “kwani huyu malaya ndie alie kutoa, alie kutoa umempa thamani gani, zaidi ya kuzidi kumwumiza moyo wake?” aliuliza  Rose ambae sasa alisimama kabisa, “hayo haya kuhusu, ni mambo ya nyumbani kwangu, we tangulia nyumbani mimi nakuja huko huko” alisema Kipanta, na hapo Rose aka tazama watu waliokuwepo eneo lile , ambao karibia wote, walikuwa wanawatazama, na bahadhi yao walikuwa wanachukuwa picha za video, hapo Rose akaona kuwa tukio hili ni sawa na kujidharirisha hivyo akaona bola aondoke zake.
pasipo kusema neno lolote Rose akaondoka zake, na kuwaacha wapenzi awa wanamsindikiza kwa macho, na alipotoweka, kwenye upeo wa macho ya watu waliokuwepo pale bar, Matrida akamshauri Kipanta wahame eneo lile, japo mwanzo Kipanta alikuwa mbishi kidogo, lakini badae akakubaliana na Matridakuwa waondoke na kuhamia sehemu nyingine, pasipo kujari kuwa walikuwa wamesha lipia chumba kwenye ile nyumba ya kulala wageni. 
Hivyo moja kwa moja walielekea Luguruni, na kutafuta sehemu nzuri yenye bar na Guest, kisha waka chukuwa chumba na kuendelea na ulevi wao, huku mala kwa mala wakiongelea tukio la Rose, kuwa fumania, “wala usiwe na wasi wasi ameyataka mwenyewe” alisema Kipantakwa kijitapa, alijiona kuwa ni bingwa, akujuwa kinacho fwata, “baby najuwa tu ukirudi kwa rose utani sahau” alisema Matrida kwa sauti ya kudeka, ambayo ilimlegeza zaidi Kipanta, ambae siyo kutabasamu peke yake, alicheka cheka kama lofa, “wala siwezikuanya ujinga kama huo, tena anza kuulizia gari zuri na nyumba ndogo ndogo, ili nikununulie” alisema Kipanta, nazani ni kwaajili ya pombe zilizo mzidi, maana hakiba yake ilikuwa ndogo sana kule Benk, na wala hilo alikuwa analijuwa Rose na Kipanta mwenyewe, “whooo! baby kweli” alisema Matrida huku anainuka na kumkumbatia Kipantakwa nyuma, na kubusu shingoni,tena je ebu ngoja nikurushie tena fedha nyingine, kwwenye account yako” alisema Kipanta huku ana toa simu yake na kuanza kufanya hamisho la fedha kama aliyo fanya jana, “yani baby leo utafurahi mwenye, nita kupa chochote unachotaka” alisema Marida akimaanisha kuwa amezamilia.******
Baada ya kutoka pale makuti Bar, Rose alielekea nyumbani kwake, ambako alikaa sebuleni kwake, huku akiwa na machungu mengi moyoni, aka chukuwa chupa ya wine na kumimi na kwenye glass, na kuanza kunywa huku ana pekua pekuwa simu yake sababu ndio kitu cha pekee alicho kuwa nacho kinge weza kumliwaza, zaidi ya hapo ange kuwepo Joyce ambae leo alikuwa ana mwaliko wake, na mwanaume wake, ambae anafanya akazi Mbeya, ame kuja kwaajili ya kushrehekea nae Chrismass.
Sasa basi wakati ana peluzi kwenye simu yake huku ana kunywa wine yake ndipoalipoona ujumbe wa whatsaap unaingia kwenye simu yake, toka kwa Joyce, “hupo wapi?” uliuliza ule ujumbe…………… endelea …..


  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa