KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA ISHILINI NA MOJA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, January 4, 2020

KITUMBUA CHA BUKU SEHEMU YA ISHILINI NA MOJA




ILIPOISHIA SEHEMU YA ISHILINI : atukujuwa wanaitiwa nini, ila pale nyumbani tulikuta magari matatu, moja dogo la kutembelea na mawili ni mabasi mdogo, yani coster, tulikaribisha ndani, ambako kulikuwa na kila kitu, ambacho kilifanya ile nyumba ionekane kuwa kuna tajiri mmoja anaishi, lakini ukweli nikwamba vitu vile vilikua ni vipya kabisa, “baba na mama ukweli siwezi kuwalipa au kulipia dhambi niliyo ifanya, miaka mingi iliyo pita” aliongea dada Adellah, na kumshangaza kila mmoja sababu tukujuwa ni dhambi gani, hapo tuka tega masikio ili kusikiliza, kipindi hicho nilikuwa kidato cha kwanza, kwamaana miaka ilikuwa imesha songa….. endelea …..
“hapo ndipo Adellah aka eleza kila kitu kilivyo kuwa, kuanzia kuiba ela za matibabu ya kaka, mpaka kukataliwa na Kipanta, kisha kupigwa na huyo huyo Kipanta” bado Rose aliendelea kusimulia, “ukweli ni kwamba pale nikama msiba ulianza upya, ni yule mfilipinoyani Mauricio Fernandez,  pekee ndie ambae akutoa machozi, baadae tuligundua kuwa, yeye ndie alie mshauri dada, kujenga nyumba na kununua yale magari, kisha kufanya juhudi za kuwapatanisha mama na baba, kwa kuwaeleza ukweli, maana mpaka siku hiyo akukuwa na ata mmoja alie kuwa anajuwa ukweli, zaidi ya kila mmoja kumwona mwenzie ndie mkosaji,  Mauricio Fernandez, ambae ndie shemeji yangu mpaka leo, alidai kuwa akupenda maisha yale ya kuwatenganisha wazazi”.
Rose aliendelea kusimulia, huku Pross alie kuwa pembeni yake ana faidi joto la ubavu wa mwana dada huyu, akisikiliza kwa umakini mkubwa, “aikuwa kazi lahisi, kwa baba na mama kukubariana na ukweli ule, ilitumia miezi sita, akuna mmoja wao alie kubari kupokea nyumba wala gari, japo baadae walisamehe, kwa juhudi za shemeji,  Mauricio Fernandez, ambae alifanya juu chini kuhakikisha wana msamehe na wana rudiana.
Japo wazazi walirudiana na kuanza maisha mapya, safari hii maisha yalikuwa mazuri zaidi, tuliishi kama familia tajiri, mana ukiachia nyumba na gari, pia shemeji ali wafungulia wakina baba, biashara kubwa kadhaa pale mjini, na pia alimtafutia dada wafadhiri na kufungua hospital, ambayo mpaka sasa ndio anaiendesha, japo wapo pamoja kama mke na mume, lakini wakekuwa wanaishi kwa wizi, sababu shria za nchini kwao, wamajeshi aruhusiwi kuoa wala kuolewa na raia wa nchi nyingine,  lakini mala nyingi wamekuwa wakisafiri kwenye huko, ufilipino ambako wanaishi muda mrefu, maana shemeji alisha maliza mkataba wake huku Tanzania kwenye la umoja wa mataifa linalo simamia wakimbizi, UNHCL” simulizi hii ilimvutia sana Pross, ambae alivuta picha ya bwana Kipanta na simulizi hii, akuamini macho yake, “kuanzia hapo nilihapa kumfanya Kipanta alipie kile alicho kifanya, ikiwezekana mpaka uhai wa kaka yangu, japo siwezi kufananisha na mateso ambayo natamani Kipanta ayapate”
Nilipomaliza kusomea degree ya uhasibu, nilifanya kila naloweza mpaka nilipopata kazi, hapo kibaha, lengo langu lilikuwa ni kuwa karibu na Kipanta, na nikafanikiwa, miaka mitatu iliyo pita, kabla aja safari kwenda nje. nikakutana nae, alikuwa ameagizwa kuja kufungua account ya benk, ambayo wata mwifadhia fedha za malipo, atakayo lipwa kwenye usimamizi wa amani, ambazo zitakuja kwa mfumo wa dolla za marekani, nashukueu akunikumbuka, ila aliponiona alinitazama mala mbili mbili, na mimi sikuvunga, nikawa na mwonyesha tabasamu, nikamwona anavyo angaika, akaniomba namba ya simu, sikujivunga nikama mpa na yeye akanipa yakwake, lakini atukuwai kuonana mpoaka lipo safari, ndipo nilipo anza kuwasiliana nae, nikijifanya namjari sana, na yeye kunieleza matatizo ya familia yake, akimshutumu mke wake kuwa anasumbua sana, lakini ni uongo mtupu, yeye ndio msumbufu, kila kukicha ni kumsumbua mke wake, na nilithibitisha ilo, mala bada ya kurusi toka huko, fedha yote tuliitumbua mimi na yeye, akiishia kuni jengea nyumba na nyingine kukafanyia starehe, muda wote nilikuwa nawaza la kumfanyia, mpaka niliposikia kuwa anakaribia kustaafu, hapo nikapata wazo la kumfilisi kila kitu, atakama atarudi kwa mke wake aishi kama mtumwa, na mpaka sasa licha ya kumalzia kunijengea mabanda ya uwani, kwenye nyumba yangu, amenunua gari, amenunua ilishamba, na hati ninazo, amenijengea flemu za maduka, na amenifungulia salon na maduka mawili, na flemu nyingine nime pangisha, ila bado nataka kuhakikisha anaendelea kulipia” alimaliza kusimulia Rose, na Pross akashusha pumnzi ndefu, “poleni sana, kumbe yule mzee ni mnyama kiasi hicho?” aliuliza Pross, kwa sauti ya masikitiko, iliyo changanyika na uzito wa wine, ambayo leo alikua anakunywa kwa mahesabu mazito, ili asilewe sana kama jana yeke.*****
Naam ebu turudi luguruni, ambako mida ya saa tatu, ndio muda ambao Kipanta na Matrida, waliomba msaada wa Sinder kuingia ndani, pamoja na vinywaji vyao, kitu ambacho Sinder alikuwa anakisubiri kwa hamu kubwa sana, maana alihakikisha muda huo, ndio ana waekea dawa ya usingizi, kwenye vinywaji vyao, kwa kupakaza kwenye midomo ya chupa za pombe na kudondoshea kwenye glass, na nusu saa baadae bwana Waghora akaingia kwenye Chumba walicho ingia wakina Kipanta, na kuwakuta wamelala kitandani awajitambuhi, uchi kama walivyo zaliwa, kama angekuwa na tama ya ngono, basi ange anza kwa kumwingzia dudu Matrida kisha afanye alicho kusudia, lakini kutokana na kukijuwa kilicho mwingiza mle ndani, akaanza kupekuwa,tathrim lakini nane na sabini, pia akaiba simu na kila alicho kiona kina mfaha, alafu akaondoka zake, akiwaacha wawili awa awajitambui, kitu ambacho akujijuwa Wagora, nikwamba kutokana na pombe nyingi walizo kuwa wamekunywa wawili awa, aikutakiwa kuwatilia ile dawa, maana inge wa over dose, na pengine kuwasababishia kifo.******
Naam tukirudi shambani mschana mrembo Rosemary na kijana mulivu Prosper bado walikuwa nje ya nyumba, wingu la mvua nikama liliondoka, kwa sasa, walikuwa wanaendelea kunywa wine, na sasa walikuwa wamelewa vibaya sana, mala kwa mala Rose alikuwa anainuka na kwenda kujoa, japo sasa akuwa anaenda mbali, alikuwa anakojoa pemmbeni tu! ya pale walipo kaa, ilifikia kipindi Pross akawa anaona jinsi Rose anavyo shusha suruali yake ya jinsi na kukojoa, huku akisikia sauti ya mchuruziko wa mkojo, na kupata shida kidogo kwenye sehemu zake nyeti, kitu ambacho Rose alikigundua mfupi ulio fwatia.
Ilikuwa hivi wote wawili walikuwa wamekaa kwenye mkeka, wamesogelea vibaya sana, Rose aliweka mkono wake wa kushoto kwenye bega la Pross, akiuzungusha mpaka upande wapili, “naomba unisamehe kwa yote niliyo kufanyia, mwanzo nilikuwa na wachukia wanaume wote, lakini sasa nimegunduwa kuwa siyo kila wanaofanana wapo na hakiri sawa” alisema Rose, huku akichezesha mkoni kwenye bega la Pross, ambae akuwa huru kwenye mwili wa Rose, “wala usijari mimi sina tatizo” alijibu Pross, ambae kiukweli alikuwa katika wakati mgumu sana, maana dudu yake ilikuwa imesimama kweli kweli, na wakati huo huo Rose akakumbuka jambo, “hivi Pross ulisema aujawai kuwa na mwanamke?” aliuliza Rose huku ana peleka mkono kwenye eneo la mbele la suruali ya Pross. pasipokujuwa kuwa kuna baraha mbele yake, linakuja kama moto wa morogoro, maana Wahora alisha chomoa betry….. 



  WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa