ILIPOISHIA SEHEMU YA ISHILINI NA SITA : kitendo bila kuchelewa, wakijuwa kuwa ndie Malaika, para na wenzake moja kwamoja waka mvamia na kumkamata, huku mala moja wakamchomeka kitambaa mdomoni ili asipige kelele, kisha waka mchoma sindano ya usingizi, maeneo ya shingoni, iliyo anza kumlegeza mda hule hule alafu wakambeba na kutokomea nae gizani, ndani ya vichaka, ni baada ya kuona kuwa mle ndani ya nyumba, akukuwa na dalili ya kuwepo mtu mwingine, endelea ......... ....... walipo lifikia gari lao, wakafunguwa buti na kumweka huko, kisha safari ikaanza kwa mwendo wa kasi sana, kisai cha kuwa kosa kosa, kuwa gonga watembe kwa miguu watatu, waliokuwa wakitembea mbele yao, kizuri ni kwamba watu hao ambao walikuwa wanaume wawili na mwanamke mmoja, **** Edgar Jastin na Malaika walikuwa wakitokezea barabara kuu, ndipo walipo koswa koswa na taxi iliyo kuwa katika mwendo makali sana, ambayo waliishuhudia, gar liki kata kona na kukamata barabara kuu nakutimua mbio kuelekeamjini, na hapo ndipo walipo agana na Jastin, na wao kurudi nyumbani kwao, walitembea kwa mwendo mrefu kidogo adi kufika nyumbani, maana walimsindikiza kwa umbari mrefu mgeni wao, “Edgar naomba upige simu nyumbani niongee na mama, kabla haja lala” aliongea Malaika baada ya kufika nyumbani, “kwanini usipige wewe mwenyewe” aliuliza Edgar “Kama asipo pokea mama, akipokea wingine, si watanijuwa, maana wanaijuwa sauti yangu” alitetea hoja yake Malaika akukuwa naubishi tena, Edgar aka chukuwa simu na kupiga namba alizokuwa akitajiwa na Malaika, simu iliita na mwisho ika pokelewa ni sauti ambayo Edgar akuijuwa ni ya nani, ila ni ya m’mama, aka mwamkia kisha aka mwomba kuongea na mama yake Malaika “una mtaka wanini?” ilihoji ile sauti ya m’mama, “Nina shida naye tu!”alijibu Edgar huku Malaika akiwa amesogeza sikio lake karibu na mkonga wa simu akisikiliza “Au unataka kumwambia kuhusu Malaika, umemuona sehemu?” ilihoji ile sauti ambayo Malaika alishaitambua kuwa ni sauti ya shangazi yake, “hapana kwani Malaika anatatizo?” Edgar aliamua kuzuga kwamba ajuwi chochote “tena kubwa sana, Malaika ametutia aibu, yani amemkimbia mchumba wake, tena kanisani, yani kamkimbia kijana wawatu, mzuri alafu mstaharabu” huku wawili hawa nusu waangue kicheko jinsi shangazi alivyo funguka, Wakati akiongea hayo mama yake Malaika alikuwa anaingia toka jikoni, akamwona wifi yake akiongea na simu akasogelea ili ajuwe simu imetoka wapi, maana alisha itilia mashaka, kutokana na wifi yake kumsifia sana Martne “huyu hapa mama Malaika ongea naye” Mama Malaika akachukuwa simu toka kwa shangazi ***** Wale vijana walienda moja kwa moja mtaa wa Matalawe adi kwenye nyumba moja ndogo yenye giza, pembeni ya nyumba kubwa yenye taa, na kusimamisha gari mahari pale, Kipara akaingia ndani ya ile nyumba kubwa, akampigia simu mzee Komba, kumjulisha mafanikio ya kazi yao, kwamba wamesha mteka Malaika, na mpaka sasa wapo naye, mzee Komba, alipatwa na furaha kubwa sana, akawaambia wapige simu nyumbani kwa mzee Haule, huku yeye mzee Komba akijiandaa kuwafwata maali walipo, akiwa na mwanae Martin, Para nae aka fanya kama alivyo ambiwa na mzee Komba, alipiga simu kwa mzee Haule ikaita ***** wakati huo Mama Malaika alikuwa ametoka kukata simu, aliyopigiwa na Edgar kisha kuongea na Malaika akimtakia usiku mwema, mala akasikia simu ikiita tena, akaipokea, akakutana na sauti nzito yenye kukwaruza “habari ya jioni, mama wa mtoto rembo Malaika” Ilikuwa ni sauti hiliyo jaa zarau na nyodo za kukera, lakini katika hali ya kukolea kinywaji, mama Malaika akajikuta amejibu kwa dharau na majisifu pia “ndiyo mimi akuna mwingine, nikusaidie nini?” hapo ukapita mguno wa dharau, “sihitaji msaada wako labda mwanao anaitaji msaada wako, kabla sijamfanyia kitu kibaya” moyo wa mama Malaika ulilipuka kwa mstuko, lakini akatuliza akili, akakumbuka kuwa ametoka kuongea na Malaika muda mfupi sana uliopita, “hoo! nina mtoto mmoja tu! sijuwi nyie mna mzugumzia mwanangu yupi labda?” aliuliza mama Malaika kwa sauti iliyo jaa nyodo, “ok! wewe leta zarau kitacho mtokea mwanao utokaa usahau” alijibu Para huku hasira ikianza kumjia, maana toka ameanza kazi hii ya ujambazi hakuwai kukutana na zarau kama za huyu mama “kumkamata Malaika siyo kazi rahisi, kama unavyofikiria, na ninakuomba kaambari na mwanangu” aliongea mama Malaika kwa sauti ya chini, lengo ni kuwa, watu wengne pale sebuleni wasisikie “mama una onekana unakiburi sana, sasa sikiliza kwenye redio na magazeti ya asubuhi” aliongea Para Kisha simu ikakatwa, mama Malaika alisimama kwa muda kidogo pale kwenye meza ya simu akiwaza, kisha akaelekea chumbani kwa Malaika, kisha akapiga simu kwa kina Edgar ilipokelewa na Edgar mwenyewe Malaika akiwa pembeni, “hupo na malaika hapo?” lilikuwa swali la kwanza toka kwa mama Malaika, mala baada ya Edgar kupokea simu, “huyu hapa, unataka kuongea nae?” Edgar alimpatia simu Malaika, nae akaongea kidogo na mama yeke, kisha akaongea tena na Edgar, akimsisitiza kuwa makini sana, akimficha kuhusu simu aliyo pigiwa mda mfupi uliopita, zaidi alimwambia kuwa anawasiwasi na mzee Haule pengine akatua watu kuwa dhuru, *** baada ya kumaliza kuongea na mama Malaika, bwana kipara akaagiza yule mwanake atolewe kwenye gari na kuingizwa ndani ya nyumba, bila kuchelwa wale vijana wake wawili wakambeba Sophia wakizani kuwa ndie Malaika na kumwingiza ndani kisha waka mlaza kwenye kitanda, sophia akiwa bado ajitambui, kisha wakatoka nje na kwenda kumsubiria mzee Komba na mwanae Martin kuja kutoa adhabu kwa mtu wao, lakni licha ya yote vijana awa walio mwingiza ndani huyu mwanamke, walianza kuingiwa na Mashaka, kila mmoja akiwaza kimya kimya moyoni mwake, “yani kazi yote tunayo ifanya, mbona demu mwenyewe wa ovyo tu!” huyo aliwaza hivyo, wapili aliwaza yakwake, “mh! yani Martin ma ujanja wake wote ndio ana ingia ghalama kwa demu huyu?” hiyo ni baada ya kumwona vizuri huyu mwanamke, anae sumbua vichwa vya watu, wakizani ndie Malaika mtoto wa mzee Haule, waliendelea kuwaza huku wakimdharau sana martine na baba yake kutumia mdawao kwa kazi ya hatari kama ile kwaajili ya mwanamke kamayule, nusu saa baadae liliwasili Toyota land cruzer jeusi, na kusimama nje ya nyumba ile ambayo walikuwepo wakina Kipara, wakashuka Martin na baba yake, wakiwa wamelewa vibaya sana, “yupo wapi huyu Malaya,” aliongea Martine kwa sauti ya kilevi, akiwa amepania kula kitumbua cha Malaika, “yupo ndani bro tena chumbani ajitambui kabisa” alijibu Para huku akiongoza ndani, akifwatiwa na Martine na baba yake, “na kuaminia sana Para, ila kesho na mwitaji na yule kijana” alionge mzee Komba wakati wakifungua mlango wa chumbani, aliko lazwa huyo mwanamke, wote watatu wakapigwa na butwaa, yule mwanamke hakuwa malaika, maana ukiachilia Martine na baba yake aa para pia ambae ndie pekee aliekuwa anamfahamu Malaika, akuwa amemwona mwanamke huyu kwenye mwanga, “inamaana humfahamu huyo mwanamke, menyewe?” aliuliza mzee Komba kwa mshangao ulio changanyika na hasira, “nimesha juwa tulikosea wapi” aliongea bwana Para, akimweleza mazingira waliyo mkuta yule mwanamke pale nyumbani kwa Edgar, “naimani kosa hili aito rudia tena” aliongea bwana Para, “ok ebu twendeni nikapaone hapo wanapo kaa hao washenzi, ikiwezekana usiku huu tuwaweke mikononi mwetu, na hapo aikuwa na namana zaidi ya kumchukuwa Sophia na kumwingiza kwenye gari, kule kule nyuma ya buti, na safari ya mjini ikaanza, huku Martine ambae ndie pekee aliekuwa anamfahamu yule mwanamke akiwa tazama tu! lile tukio na kujifanya kama hamjuwi kabisa, ndani ya gari lao yeye na baba yake mda wote walikuwa wana kunywa bia, huku safari ikiendelea, kituo cha cha kwanza kilikuwa kati kati ya mji, walipo simama na kumtoa Sophia kwenye buti la gari, na kumtupa pembeni ya barabara, kisha wao wakaondoka na kuelekea seed Fram kupaona nyumbani kwa Edgar, ambapo waliambiwa yupo Malaika, ***** ndani ya chuma chenye mwanga afifu, wakiwa wamesha maliza kupeana dudu, Edgar na Malaika walikuwa wame jipuzisha juu ya kitanda, Malaika akiwa amejilaza juu ya ifua cha Edgar wote waki hema juu juu, “asante Eddy, ume nifanya nijisikie raha sana” aliongea Malaika huku akiinua uso wake na kumtazama Edgar usoni, huku akicheka cheka kivivu, “asante na wewe pia Malaika,” alisema Edgar safari hii wakacheka wote, wakati wana endelea kuongea na kupeana maneno matamu ya kimapenzi, mala Edgar akaona kitu kama mwanga wagari ukimulika kwa mbali ndani ya chumba, kupitia dirishani, mwanga ulioonekana vizuri, kutokana na mwanga afifu uliopo mle ndani ya chumba, hapo Edgar akainuka na kuchungulia dirishani, akaona mwanga wa taa za gari mbili, zilizo simama mbari kidogo na nyumba yao, “naona kuna magari yame simama kuleeee, sijuwi ni wakina nani wale” alisema Edgar akiwa bado pale dirishani, akichungulia nje, “mh! sasa una shangaa magari, kwani huku akuna wenye magari?” aliuliza Malaika, akiwa bado kitandani, “kwani umesahau mama yako amesema kuwa tujiadhari na wakina Martin?” aliongea Edgar, ambae aliona taa nne za ari ikiashiria kuwa magari yalikuwa mawili, akiwa bado dirishani, “mbona unasema magari, kwani yapo mengi?” aliulia Malaika huku aiinuka na kusogele dirishani, “si unaona yale magari, tena yapo mawili” sasa wote wakawa wana chungulia nje kupitia dirishani, walisuhudia taa za magari yale zikizimwa, na eneo lile kutawaliwa na giza, hapo kwa shida kidogo wakaona taswila za watu zikitokea eneo lile, na kuanza kutembea kuja upande wa nyumba yao, mala wakaanza kuwaona kwa uwazi kabisa baada ya kujitokeza kwenye mwanga wa taa za nje ya nyumba wao, waliweza kuwaona wana ume watano, pamoja na mwanamke mmoja, Edgar na Malaika wakiwa bado wana endelea kuchungulia dirishani, walishuhudia wana ume wawili kati ya wale watano waki zunguka nyuma ya nyumba yao, huku wawili wakisimama mambili kidogo, na mwanaume mmoja, mwenye ndevu nyingi na alie nyoa upara, akiongozana na yule mwanamke, wakiisogelea zaidi nyumba yao, wawili wale wakaelekea mlangoni, kisha ikafwatia sauti ya kugongwa kwa mlango, “hooodiiii” ilikuwa ni sauti ya kike, hapo Edgar na Malaika wakatazamana, huku wakipeana ishara ya kukaa kimya, ile sauti ya kugongwa kwa mlango ilijirudia mala kadhaa huu sauti ya kike ikiiita, lakini wao wakakaa kimya, baada ya kupigahodi mala kadhaa bila mafanikio, wale watu wakaoneka wakirudi ple walipo simama wanaume wawili, waka waambia jambo, kisha wakaonekana wale wanaume wawili pamoja na yule kipara, waasogelea tena nyumba ya kina Edgar wakiongozana na yule mwanamke, “au mlipo kuja mwanzo aliwaona, ndio maana wame ondoka” aliuliza mmoja kati ya wale wawili waliokuwa wame bakia mwanzo, kwa sauti iliyo onyesha wazi, kuwa mwongeaji alikuwa amekunywa pombe kupita kihasi, “Martin na baba yake” alinog’ona Malaika, baada ya kuweza kuwa tambua Mzee Komba mabasi na mwanae Matin, “sidhani kama walituona, labda walikuwa wame toka, na bado awajarudi” alijibu yule mwenye kipara, “aya jamani tuondoke, we kipara jaribu kuangalia unafanyaje kuwa pata watu awa” aliongea mzee Komba ambae ni rafiki mkubwa wa baba yake malaika, huku wakianza kuondoka kuelekea walipo yaacha magari yao, Edgar na Malaika, wakawaona wale vijana wawili walio zunguka nyuba yao wakijitokeza na kuunganz na wenzao, “baba twende nikanikakuache home, mimi nataka kwenda Nyumbani Lodge, nikatafude demu wa kini liwaza, maana siku ya tatu leo sija pata demu” walimsikia Martin akiongea, na baba yake akamuunga mkono, “aina tabu” Edgar na Malaika waliwashuhudia wakina Martin wakiingia kwenye magari yao na kuondoka zao, hapo waka hema kwangungu huku wakitazamana, “inamaana wakina Martin wana tutafuta, na sasa wamesha juwa tupo wapi” aliongea Edgar, kwa sauti ya chini yenye tahadhari nyingi sana, **** Saa kumi na moja kasolo za alfajiri, Sophia alianza kujisikia baridi kali sana mwilini, akafumbua macho akaangalia mazingira ya nayo mfanya ajisikie baridi akajikuta yupo maeneo ya mjini amelala nje kabisa, pembeni ya barabara, akajiuliza amefikaje pale, akavuta kumbukumbu, kuwa alikuwa malangoni kwa Edgar akijaribu kuweka dawa, kabla ajafanikiwa wakaja watu waka mkamata, na kumchoma sindano, kisha akujuwa kilicho endelea, mpaka sasa alipo jikuta amelala pale, mwili wake ulikuwa umechoka sana, aka jiinua najikagua kama kuna jambo lolote baya amefanyiwa, kajikuta yupo salama, akaaanza kutembea taratibu kuelekea mtaani kwao majengo. ***** Asubui Mama Malaika alikamka mapema sana akajiandaa kwenda ofisini, sababu baba Malaika bado alikuwa ana uchovu wa pombe na mawazo pia, alipo maliza kujiandaa mama Malaika aliingia chumbani kwa Malaika, na kupiga simu kwa mwanae simu ilipokelewa na Edgar, baada ya kusalimiana akaongea na Malaika ambae alimsimulia mambo yaliyo tokea usiku, na kwamba walimwona Martin na baba yake, pamoja na vijana watatu, na mwanamke mmoja, mama Malaika aliwaambia kuwa anakuja hapo nyumbani kwao, Malaika aliposikia ujumbe wa mama yake, akamwambia Edgar, mama yake akija itakuwa vzuri na wao wakienda mjini kwa kutumia usafiri wa mama yao, ili wakaangalie bahadhi ya maitaji, pia nivyema wakatembee kubadirisha mazingira, lakini wakakubaliana, kuwa Malaika avae nguo za kujificha sura asijulikane na watu, baada ya hapo Edgar na Malaika wakajiandaa, alipofika mama Malaika, walipata kifungua kinywa kwa pamoja, kisha wakaondoka nae kuelekea mjini, huku njiani wakimsimulia kilicho tokea jana usiku **** Mama Martin alikuwa ameumizwa sana na tukio la mwanae kukimbiwa kanisani, aliumizwa sana pia baada ya kusikia mama Malaika ameonekana akiongea na mwane sehemu aliyo jificha, “kwa hiyo mama Malaika anausika juu ya mwanae kukimbia kanisani,” aliwaza mama Martin, ambae licha ya kujuwa mabaya anayoyafanya mwanae, lakini akajiandaa amtafute mama Malaika, ili amwambie anafahamu kila kitu kuhusu yeye kuonana na mwanae huko mafichoni, **** Mama Malaika alienda kuwashusha wakina Malaika karibu na soko kuu, Malaika alikuwa amevalia suruali ya jinsi na tishet ya njano, pia juu yake alivalia koti fupi lenye kofia, akajifunika aikuwa rahisi kwa mtu kumtambua, Malaika akaongozana na Edgar mapaka kijiweni, wakamkuta Jastin amesha fungua bihashara, wakaingia moja kwa moja kwenye kibanda, wakatulia kwenye benchi ***** Mama Malaika alianza kwa kuzungukia maduka na kiwanda cha ushonaji, kisha akaingia ofisini, alifanya shuguli zake kwa masaa mawili kabla ya kumwona mama Martin akiingia hapo ofisini, akionyesha mwenye hasira na chuki kubwa sana juu yake “hoo karibu sana” aliongea mama Malaika huku akitabasamu, na mama Martin aliona kama lile tabasamu, ni lakejeli, lika mzidishia hasira “huna ata haya we! mwanamke, sasa kumtorosha mwanao na kutusababishia aibu kubwa wenzio ndio nini?” aliongea mama Martin, pasipo kukaa huku amejishika kiuno “nani asiye kuwa na haya, kati ya mimi na wewe?, unaweza kuniambia mwanao alikuwa amelala wapi siku ya kuamkia ndoa?” itaendelea.......
Tuesday, January 28, 2020
Home
Unlabelled
BIBI HARUSI MTARAJIWA MALAIKA SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA

About Uhondo kitandani
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment