BIBI HARUSI MTARAJIWA MALAIKA SEHEMU YA TANO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, January 27, 2020

BIBI HARUSI MTARAJIWA MALAIKA SEHEMU YA TANO




ILIPOISHIA SEHEMU YA NNE : Malaika aka muuliza yule mama “eti mama kwani hukujuwa bei yake?”hapo kwa sauti ya unyonge na upole sana yule mama akasema, “mwangu samahani kwa usumbufu, nazani sikusoma vizuri bei yake, mimi nilijuwa nishilingi elfu mbili miatano, kumbe elfu ishirini na tano, basi mama, naona Mwanangu hana bahati” tofauti na mwanzo sasa huyu mama aliongea kwa sauti yakukata tamaha, huyu siyo mwingine, ni mama yake Edgar, endelea....
Safari hii Malaika akucheka tena, alimwangalia kwa uzuni kidogo yule mama, Malaika akatabasamu kidogo kisha, akamshika mkono yule mama, kwa unyenyekevu mkubwa, akamkabizi ile card ya mwaliko, kisha kwa sauti ya upole akamwambia “usijari mama, wewe nimpendwa wangu, na mimi najipanafasi yakuwa nafuraha moyoni” baada ya kusema hivyo, Malaika akamwambia Sarah “mpatie mama hiyo suit” Hapo mama alitoa tabasamu pan asana, huku akijizuwia kupiga kelele za shangwe, akataka apige magoti kushukuru, lakini Malaika akamdaka juu juu "hapana mama usijari, na hiyo ela yako kaa nayo utafanya nauli" alisema Malaika akionyesha uthamani wa hali ya juu kwa yule mama,“Asante sana mama yangu, nakutakia maisha mazuri yenye furaha na amani, ktk ndoa yako, mungu akubariki sana, mumeo awe mwema kama wewe” Yalikuwa maneno mazito yaliyo utonesha moyo wa Malaika, kwani alimjuwa Martin, kuwa simwanamume mzuri watabia, ataumbile lake la mwili, hakulipenda sana, ya ni kijana mdogo tu! kitambi kikubwaaaaa! kilimkera sana Malaika, hapo ika mjia kumu kumbu ya yule kijana wa jana jioni alie mdaka pale nyumbani peace,  akakumbuka kifua cha yule kijana aliemdaka jana, wakatii, anatoka kumshuhudia Martin akiwa namwanamke mwingine, japo kijana yule alionekana kulowa jasho, lakini hakujisikia vibaya, ilikuwa ni baada yakupigiwa simu ya ofisini kwake, na mtu ambae mpaka sasa akuwa anamjuwa, "unajifanya unamchumba, aya sasa nenda nyumbani peace, ndani kabisa kwenye kona ya kushoto, kamwone mchumba wako anacho kifanya" Malaika alikumbuka maneno aliyoambiwa namtu ambae akujitambulisha kwajina, kwa sauti ya upole sana Malaika, akamwambia yule mama “Asante mama naomba iwe hivyo, usikose kuja kwenye harusi yangu mama”aliongea Malaika huku akijitaidi kulazimisha tabasamu, “Nitakuja mwanangu, tena na baba yako, tutaanzia nakanisani mpaka ukumbini” yule mama alipewa mfuko wenye suit kisha akaaga na kuondoka, huku akiendelea kushukuru, na Malaika akamkumbusha kuandika majina yao kwenye card, maana zilikuwa azija andikwa, Hapo Malaika akamsindikiza kwa macho yule mama, akimshuudia mama akitembea taratibu, huku akiukagua hule mfuko, kisha akapotelea mtaani, Malaika aliishia kutabasamu, Malaika akatazama mda ilikuwa saa tano na nusu, akaona bora awai kwa Martin iliampitie waende wakapate chakula cha mchana, wapate nafasi ya kujadiriana juu yatabia yake, inayomchafulia sifa mitaani,
Bila kuchelewa Malaika, aka waaga wafanyakazi wake pale dukani, akaenda kufunga ofisi yake, kisha akalifwata gari lake, benzi jeusi akaingia na kuliwasha! kisha huyooo akaondoka  ***** kiukweli pale soko kuu baada ya Sophia kuondoka zake, na kuelekea ofisini kwa Martin, Edgar akujisikia tena kukaa kijiweni, kwani ujio wa Sophia pale kijiwen,i ulimwongezea machungu moyoni wake, akaona bora arudi nyumbani kwake seed farm, akatazame filamu, maana nimoja kati ya vitu anavyo vipenda sana, “Jastin mimi naenda nyumbani, kama mama atakuja hapa, usimwambie kama nimeenda nyumbani, we mwambie tu! nitapitia nikitoka mazoezi” aliongea Edgar wakati akijiandaa kuoondoka zake, “Poa kaka ila usiwaze sana, chakufanya mshukuru mungu, kuwa umegunduwa mapema, sasa je ungekuja kumuoa?, si’ingekuwa matatizo?” aliongea Jastini, ambae aliona jinsi rafiki yake, alivyo kuwa katika maumivu  makali sana, “dah! Kweli kabisa” Edgar alikubari wazo la Jastin, waliongea kidogo, kisha Edgar akachukuwa begi lake dogo la blue, alafu taratibu akashika njia ya kuelekea nyumbani kwao seed farm, huku kichwa chake kikiwa kimevurugika, kama yai linalo andaliwa kukaangwa, ******  Martin Johnson au Mart Jons, alisimamisha gari nje ya ofisi yake, nyuma yamtaa wa Zanzibar, akashuka na briefcase yake mkononi, akatoka binti mmoja ofisini na kumpokea, wanasalimiana huku wanafanyiana utani kidogo, kisha wanaingia ofisini “Bosi leo umechelewa sana” aliongea yule binti, huku akiweka briefcase juu ya meza ofisini kwa Martin "vipi ulikuwa unanitamani?" aliuliza Martin huku akipitisha mkono wake juu ya makalio madogo ya binti huyu "hapana bwana, naona umekuja mida hii ofisini" alisema yule dada kwasauti ambayo ungezani alikuwa namafua, “Jana nilichelewa sana kulala, vipi kuna mtu kaja kuniulizia hapa?” aliuliza Martin huku anaelekea kwenye kiti chake na kukaa, “hakuna aliekuja” aliongea Yule binti, ambae sasa tunafahamu ndie kalani, yani mfanyakazi wake wa pale ofisini, anaitwa Magreth, yeye ofisi yake, hipo  nndan ya ofisi ya Martin, yani usinge weza kuingia kwa Martin, Kabla ujapita kwa Mage, nakupata ruhusu, kitu kingine ambacho watu waliuwa awakijuwi, ni kwamba, Mage amekuwa kama mke kwa Martin, maana kila Martini anapojisikia kupata kitumbua, uwa anamwita ofisini kwake, anamwingizia dudu, kisha shughuli zinaendelea, “ok! sasa nenda kaniletee soda, ya baridi sana, maana jana nilizidisha pombe, naona bado hipo kichwani” Mage akachukua pesa nachupa kisha akatoka nje kufwata soda, hapo nje Maghlet anamwona Malaika, akisimamisha gari lake, nakushuka huku akitabasamu, wanasalimiana kwa furaha, sababu Mage, anamfahamu sana Malaika, anamwita wifi, lakini kimoyo moyo anamwonea huruma, kwa mchumba aliempata, ambae yeye anachezea dudu kila siku, "hooo wifi huyooooo!" alisema Magreth akimsogelea Malaika "ndo mimi wifi yako, mambo Mage" "safi tu! naona una kuja kumwona bwana harusi mtarajiwa" alisema Mage huku akicheka cheka,  "inaitwa abilia chunga mzigo wako" aliongea Malaika kisha wote wakacheka sana, wakati wakiendelea kuongea, mala akawapita binti mmoja, alievalia kisket kifupi cha jinsi na kiblauz cha kubana, bila ata kuwasalimia, wote waka mwangalia yule binti akielekea ofisini kwa Martin, “hana adabu huyu, mwache asubiri weeeeeee! mapaka achoke” Aliongea Mage huku Malaika akicheka kichini chini, asa kwa mwonekano wa uvaaji wa yule mwanamke, wote kwa pamoja, wanamtazama yule dada mpaka anaingia ofisini , japo Malaika aliiona sura ya mwanamke huyu ni kama anaifananisha kuwa aliwai kuiona sehemu, akapotezea, huku yeye na Mage waki cheka tena na kugongeana mikono, “Sasa wifi wetangulia ofisini mimi nikamletee soda kaka Martin, ila mwambie apunguze pombe” aliongea Mage kwa kunong’ona, Malaika akatabasamu kidogo, huku anapiga hatua kuelekea mlango wa ofisi ya Martin, moyoni akiwaza namna yakumbadirisha tabia mchumba wake Martin, mwisho Malaika akajikuta yupo mbele ya mlango wa ofisi ya Martin, mala kwambali akaanza kusikia, miguno isiyo ya kawaida, na vicheke vya kimahaba, hapo taratibu akausogelea mlango wa ofisi ya Martin, kisha taratibu akanyonga kitasa nakuingia ndani, naam Malaika aliweza kumshuhudia Martin, akiwa amempakata yule dada alievalia ki skert kifupi cha jinsi, ambae aliwapita nje, mda mfupi uliopita, Malaika alimwona Martini na yule dada, ambae sasa alianza kupata picha kuwa alimwona jana kule Nyumbani peace, kwani sasa aliwaona wakibadirishana mate, kwa kunyonyana ndimi zao, aliwatazama kwa sekunde kama saba adi nane, ndipo wawili awa walipogundua kuwa, kuna mtu kaongezeka mle ndani, Martin akapigwa na butwaa asijuwe lakusema, akamsukuma yule binti toka mapajani kwake, yule binti akajibwaga chini nakutulia makalio, “Martin huyu nani wako mpaka unanisukuma hivi?” aliuliza yule binti huku akijozoazoa pale chini, akisikilizia maumivu makali ya kwenye makalio aliyo fikia chini, “Samahani kwa kuwaingilia jamani” akiwa mwenye uso wa tabasamu la kulazimisha, Malaika aliongea kisha akageuka na kutoka nje, akufunga mlango kama alivyoukuta, kisha Malaika huyooo! akatembea kwa haraka kulifwata gari lake lilipo, akaingia ndani ya gari akawasha na kisha akatoka speed, kuelekea upande wa barabara kubwa,
Mage akiwa anarudi na soda yake mkononi, ndipo kwa mbali akamshuhudia Malaika akiondoka kwaspeed akahisi kunajambo limetokea mlendani, ivyo akakimbia na soda yake mkononi ili akajuwe kulikoni, Ile anafika mlangonitu! alishuhudia yule binti alievalia sketi fupi, akisukumwa toka ndani, na kwenda kujibwaga chini kama mzigo, huku Martini akifwatia akiwa ame kunja uso wa hasira, “Malaya nuksi wewe! umesha nialibia kwa mchumba wangu, alafu unaulizauliza nini hapa, na kwambia Sophi sitaki kukuona tena hapa, na usinijuwe mbwa mkubwa we” Martin alimalizia kwa kumkanyaga tumboni, yule mdada ambae ndie Sophia, mchumba wa zamani wa Edgar, kisha Martin alirudi ofisini, akimwacha Mage anamshangaa Sophi, ambae sasa alikuwa akijiinua pale chini, “Nimekosa nini Mart, eti! dada yangu, naomba unisaidie, yani nimeachana na mchumba wangu jana tu! kwa ajili yake, leo ananifukuza” aliongea Sophia huku akiwa anaangua kilio, Mage naye alimtazama kwa jicho la chuki Sophi, kisha bila kumjibu chochote, akamwachia msonyo mkali  wazarau huku anaingia ndani, wakati huo akapishana na Martin alie kuwa anatoka haraka haraka haraka, nakuingia kwenye gari lake, nakuliondoa kwa speed, akijaribu kumfukuzia fukuzia Malaika, alijuwa lazima atakuwa ameenda nyumbani, kumsimulia mama yake kilichotokea, hivyo Martin alijitahidi kuuwai ilikumzuwia, ikiwezekana kumpigia magoti Malaika, Sophia nae baada ya kuona Martin ameondoka, akajiinua taratibu, huku akijifuta machozi, nakumalizia kwa kujifuta vumbi, kwenye nguo zake, kisha na yeye huyooo, akapotelea kwenye chocholo za mtaa wa Zanzibar,
NAAM MAMBO YANAZIDI KUPAMBA MOTO SOPHIA YAMEMKUTA MAKUBWA, MALAIKA AMEMFUMANIA TENA MARTIN JE?, ATACHUKUA UAMUZIGANI? AU MARTIN ATAFANIKIWA KUMTULIZA MALAIKA, endelea ku like ku comment maoni na ushauri karibuni in box



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa