Mwaka 1997 Songea
Jioni moja mida ya saa 12 na nusu, mitaa ya katikati ya mji wa songea ulikuwa umeshaanza kupooza, ni baada ya watu kumaliza shughuli zao na kurudi majumbani kwao, katika barabara kuu itokayo stendi kuu kuelekea nje yamji, alionekana kijana mmoja mwenye umri wa miaka 28 akiwa amevalia mavazi ya kimichezo ya track suit nyeusi na tishert nyeupe yakukata mikono chini viatu vya rubber, kipindi hicho tuliziita rubber mtoni nyeupe, zenye mstari mweusi, mkononi mwake alishikilia mpira wa kikapu (baskert ball) na mgongoni alibeba begi dogo la blue, alioneka na kuwa alikuwa anatoka kwenye mazoezi.
Kijana huyu mwenye urefu wa wastani na mwili ulioonyesha wazi kuwa ni mwana mazoezi, alitembea kwa haraka kuelekea ilipo bar moja maarufu sana mjini songea (kwa kipindi hicho) Nyumbani Peace Lodge, kijana huyo alionekana kuwa mwenye wasiwasi mwingi sana ,juu ya kile alicho ambiwa aende akashuhudie pale bar.
Yule kijana akiwa amesha karibia mlango wakuingilia ndani ya ile bar, akamwona mmoja mschana mzuri na mrembo zaidi ya urembo wenyewe, yule dada alikuwa akishuka kwenye ngazi kwa mwendo wa haraka sana, akionyesha kuwa kuna kitu kilimkwaza huko ndani aliko tokea, wakati yule kijana akiendelea kumshangaa yule dada, alimshuhudia akiikosa ngazi ya mwisho, na kuteleza kisha kuyumba kidogo huku vitu alivyoshika mkononi, pamoja na hand beg na kitabu kidogo cha kumbukumbu (diary) vikimdondoka, naye akiendelea kuyumba na mwisho uelekea chini, akielekeza uso mbele hapo kijana huyu kwa wepesi anakasi ya ajabu sana, alimuwahi yule dada na kumdaka na kuvuta kwake, akimnusuru kufika chini wakabaki wamegandana kifuani kwa sekunde kadhaa, huku kila mmoja akiwaza la kwake yule kijana akishangaa uzuri wa yule binti, na yule binti alishangaa, jinsi yule kijana alivyowahi kumdaka na kumzuwia kudondoka vibaya, pengine ange haribu usowake, maana alikuwa akiangukia uso, pale kwenye kifua kipana cha yule kijana aliye jengeka kimazoezi, binti kama alie hisi shit ya umeme, akajitoa haraka sana, kifuani kwa yule kijana, kisha akaokota mkoba wake.
"asante kaka" ilikuwa sauti tamu sana, toka kwa yule binti mrembo, ambayo kiukweli huyu kijana ajawahi kuisikia, labda kwenye video, hilo ndilo neno pekee alilotamka yule binti mrembo, kisha yule mrembo sana, akaondoka kwa haraka ile ile ya mwanzo, aliyo kuwa anashukanayo kwenye ngazi, yule kijana akiwa bado anamshangaa yule mwana mke mrembo mwenye umbo matata sana, akielekea kwenye maegesho ya magari, nakuingia kwenye gari moja la kifahari, aina ya mercedis benz nyeusi, nakuondoka kwa speed akimwacha yule kijana bado akikodolea macho gari, hadi lilipo toweka kwenye upeo wa macho yake, “mh! nimeona wanawake wengi wazuri, lakini huyu kiboko yao”, alijiwazia yule kijana,wakati anataka kuendelea na safari yake, akakisukuma kitu kwa mguu wake, akatazama chini, akaona kile kitabu kidogo, yani diary ya yule dada, akakiokota “nikikutana naye atamkabidhi.” alisema yule kijana, huku akiweka ile diary kwenye begi lake dogo la brue, kisha akaanza kupandandisha ngazi, kuufwata mlango wa uingilia kwenye ukumbi wa ile bar kubwa sana na maalufu, kipindi hicho mjini Songea,
Ndani bar sauti kubwa ya music ilisikika, wanaonekana watu wengi waliovalia kinazifu, wakiwa wamekaa kwa pea, yani wawili wawili, mpaka wanne wakizunguka meza zao zilizopambwa kwa vinywaji mbalimbali, pia walionekana walinzi waliojazia na kujengeka miili yao (mabouncer) wakizunguka huku na kule kuangalia usalama wa mule ndani, basi kijana huyu anaonekana akitazama huku na kule, kutafuta kile alichoambiwa akakishuhudie pale bar, naam Baada ya kutazama kwa muda mchache atimaye macho yake yakatuwa pembeni kabisa ya ule ukumbi mkubwa kabisa wa bar, kwenye kona moja iliyo jitenga na kuwa na mwanga afifu sana, japo kulikuwa kuna giza flani mle ndani, lakini akaona alichoki tarajia kukiona tokea alipo kuwa anakuja hapo bar, walionekana watu wawili mwanamke na mwanamume, wakiwa wamekaa kweye kochi dogo la watu wawili, ni kati ya makochi mengi yaliyopo mle ndani ya ukumbi, huku meza yao ikiwa imetapakaa vinywaji (pombe, beer) na sahani ya mishkaki ya mbuzi, huku wakifanya kitu ambacho yule kijana akupenda kukiona, japo macho yake yali mlazimisha kuangalia tukio lile, aliangalia sehemu ile huku akipiga atua kuwasogelea watu wale, yule kijana aliuma meno kwa uchungu, maana alimwona mpenzi wake Sophia, akiwa ameinamia kwenye mapaja ya mwanamume aliekuwanae pale bar, akionekana kichwa chake kikicheza cheza juu chini, akiashilia alikuwa ana nyonya dudu, loho ili muuma sana yule kijana, kwanza kusalitiwa na mwanamke alie mwangaikia na kumuhudumia kwa kila kitu, mpaka kuanzia fedha ya chakula mavazi mpaka kodi ya chumba japo alikuwa anakaa na rafiki yake, pia aliwahudumia mpaka wazazi wake walioko kijijini kwao namabengo, kwa kutegemea mladi wa biashara yake ya viatu vya mitumba, pili katika kipindi chote cha miezi sita waliyo kuwa kwenye mausiano yao, Sophia hakuwai kumnyonya dudu, wala kujaribu kumnyonya dudu, akidai niuchafu, na kuwa yeye awezi kabisa kujaribu kufanya hivyo, na japo mapenzi yao yalikuwa na miezi sita tu!, lakini kijana huyu alikuwa anampenda sana Sophia, leo hii alikuwa amesimama mbele yake, anamwona kwa macho yake akiwa na mwanamume mwingine akiwa ana Nyonya dudu, tena alimwona akiinyonya kwa ustadi mkubwa, utazani kama vile ile dudu imepakwa asali, leo sophia alikuwa amevalia nguo ambayo yule kijana akuwai kumwona akiwa amevaa, kilikuwa ni kigauni chepesi na kifupi sana, na sasa kile kigauni kilikuwa kimepandishwa juu kabisa, usawa wa kiuno, kiasi cha kufanya chupi ya Sophia kuonekana, na yule jamaa aliyekuwa nae, alikuwa amepitisha mkono kwenye pindo za chupi ya Sophia, alaiekuwa amebinuwa msambwanda wake na kuruhusu mkono wa yule jamaa, kufikia kwenye kitumbua chake, kisha kidole chake kimoja cha yule jamaa aliekaa na Sophia, kikifanya kazi ya kuchezea, kitumbua cha Sophia .Hapo kwa hasira akavuta hatua za haraka, kuwafwata pale walipo ambapo alikuwa amebakiza atuwa chache tu! lakini yule kijana akasimama ghafla, ni baada ya kumtambua yule aliyekaa na mpenzi wake.
Si mwingine huyu ni Martin Jonhson Komba, rafiki zake umwita Mart Jons, ni kijana mwenye umri wa miaka 30, maarufu sana hapa mjini, kutokana na umalidadi wake, unaotokana na fedha nyingi sana, za wazazi wake, na wadhifa mkubwa alionao, ni kutokana na kusimamia kampuni ya baba yake mzee Jonson Komba (maarufu kama komba Mabasi) ni tajiri na mmiliki wa mabasi makubwa ya abiria, yafanyayo safari toka Songea kwenda dar es salaam, pia songea Iringa, songea njombe na Mbeya, pia alikuwa ana mabasi madogo, yafanyayo safari za Songea Namtumbo, Tunduru na masasi, nachingwea, lindi na mtwara, kipindi hicho barabara ya vumbi, na pia magari mengine yalienda, Songea peramiho mbinga hadi Nyasam, kampuni hiyo ilimfanya Martin Johnson awe na jeuri kubwa sana pale mjini Songea, na kuogopwa na vijana wengi sana pale mjini Songea, huku akitembelea Toyota land cruzer jeusi, Martin Jonson au Mart Jons aliweza kumchukuwa mwanamke yoyote amtakae pale mjini, pasipo kuangaika kumtongoza, na kipindi hiki kulikuwa na habari iilyo tapakaa, kuwa alikuwa anajindaa kufunga ndoa na mwamke mmoja mrembo sana na mtoto wa tajiri hapa mjini, ambae kwa upande wake,huyu kijana hakuwa anamjuwa wala kumfahamu mschana huyo, ambae inasemekana, ameingia hapa mjini Songea, miezi miwili iliyo pita, akitokea mjini Dar es salaam alikokuwa anasoma chuo kikuu cha mlimani,
Hapo yule kijana akajuwa kuwa, chochote atakacho kifanya mahali pale, hatokaa aeleweke, zaidi yeye ndie atakaeonekana kuwa mkorofi, basi akabaki ameduwaa akiwakodolea macho, kama anaangaliavideo, hadi MartJons alipo mwona na kustuka kuwa kuna mtu ame wasimamia anawashangaa, “hoya vipi wewe, unashida?” aliuliza Martin, au bwana harusi mtarajiwa, huku mkono wake ukiwa bado uvunguni kwa Sophia, hapo Sophia akasitisha zoezi lake na kumtazama yule kijana, kisha kwa zarau yule mwanamke ambae ni Sophia, akasema, “siunaulizwa we mjinga, unashida gani?” tena Sophia aliongea kwa sauti ya kilevi, huku akibinua midomo, hapo jamaa akajikaza kiume, kisha akatabasamu, tabasamu ambalo lilijaa machungu yasiyo kifani,kisha akaongea huku akilazimisha iwe sauti ya kawaida “samahani kwa usmbufu, kuna mtu nilimfananisha” yule kijana akageuka na kuondoka zake, akiwaacha wapenzi wawili wakimsindikiza kwa macho, mpaka alipopotea nje, kisha wakaendelea na michezo yao ya kimahaba pasipo ahibu yoyote, kijana huyu alikuwa ni Edgar Mbogo (lakini siyo mimi)*******
Asubuhi siku iliyofwata, pembeni kidogo ya mji wa Songea, upande wa mashariki ya mji huu, mtaa wa Seed Farm, mita hamsini toka kwenye mto luhuwila, ndani ya nyumba moja kubwa moja, ni kati ya nyumba chache zilizopo mtaani hapo, (kwakipindi hicho) kila moja ikiwa umbali wa mita mia moja, mpaka mia mbili, mpaka kuikuta nyumba nyingine, katika nyumba hiyo, ndani ya chumba kimoja kilicho tawaliwa na mpangilio mbaya wa vifaa na nguo,huku kuta zake zikitapakaa picha za wanamusic wa reggae na hip hop toka sehemu mbali mbali za dunia, ulisikia wimbo wa redemption song wa bob marley, kwa suti ya chini, toka kwenye redio kaseti kubwa iliyopo sebuleni, na katikati kitanda kikubwa cha futi sita kwa tatu, anaonekana Edgar akistuka toka usingizini, akajaribu kuwaza kilichotokea jana pale Nyumbani peace lodge, roho ilimchoma sana, alikumbuka gharama alizotumia kumsaidia Sophia, licha ya kipato chake kidogo, ambapo anapati viela kidogo kwa kuuza viatu vya mitumba, lakini leo Sophia ana msaliti kwa yule kijana mwenye pesa na utajiri Martin, ilifiia kipindi alijinyima vitu vingisana kwaajili ya kumlizisha Sophia, “dah! eti leo anafanya file na yule jamaa, kwli ukiwa na fedha, uapendwa na kila mtu, Sophia ameni saliti mapema sana” aliwaza Edgar akiwa bado juu yakitanda chake cha futi sita kwa nne, ndani ya nyumba moja kubwa sana, anayo ishi peke yake, “huyu jamaa nitamchukia kuanzia leo, yani fedha zake zina sababisha Sophia amnyoye..... dah! adharani kabisa,” aliendelea kuwaza Edgar, kijana alie jengeka mwili kimazoezi, kwakuwwa maili katika mchezo wa mpila wa kikapu (basket ball) anao upenda sana, “dah! kama ningekuwa nimemtambulisha kwa mzee Mbogo sijuwi ninge iweka wapi sura yangu?” aliwaza sana Edgar pale juu ya kitanda chake, baada wakuwaza kwa muda kidogo, Edgar anainua uso wake nakuangalia saa kubwa ya ukutani. “saa moja na nusu nimesha chelewa”..........(ITAENDELEA ) ilikujwa bibi harusi ni yupi na alifanya nini, pia kujuwa kilichotokea baada ya Sophia kuamua kutoka na Martin, pia ilikujuwa huyu dada mrembo ailie dondosha Dialy anausikaje katika mkasa huu, anza sasa kuifwatilia mwanzo mwisho ili upate kisa cha bibi harusi mtarajiwa, MALAIKA ilikujuwa kilicho tokea baada ya tukio ilo, ndelea ku like na ku comment kwa ushauri na maoni pia ukiweza share nawenzako waisome.
No comments:
Post a Comment