UTAMU WA JIRAN
SEHEMU YA 12
utamu ulikole zaidi hadi yule mama alipotangaza kufika kileleni kwani alitoa yowe kali kisha akanyamaza kimya kama alivyofanya witi…..
endelea…
Sikujua kama atakuwa amezimia au lah cha zaidi nilichokuwa nakifikilia mda huo nitapata wapi msaada wa kumtoa nje kama alivyofanya yeye kwa witi
kichwa changu kilizidi kupata moto kwa mda huo nyoka wangu aliyejifanya ananguvu sasa amenisaliti na kuniacha pekeyangu nikihangaika nifanyaje”
mda ulizidi kuyoyoma
mamamwenyenyumba akiwa bado amejilaza pale kitandani bila kuonyesha hali yoyote
ya unafuu,
nikiwa katika hali ya mawazo mara simu ikaanza kuita bila kupoteza mda nikaichukua na kuipokea kisha nikaipeleka sikioni kusikiliza nani mpigaji wa simu ile kwani sikuangalia kwenye kioo wakati napokea,
“hallow”niliongea baada ya kuipokea
“dada muuza chakula hapa”alijibu
nakuja kukif…kabla sijamalizia sentensi ile mlango wangu ukagongwa harakaharaka nikatoka pale niliposimama na kuulekea mlango ili nijue nani aliyekuwa akigonga mlango wa chumbani kwangu
“samahani kaka nilikuwa namuulizia mama doris”
“mmh mama doris simfaham labda uwaulizie wapangaji wengine kwakuwa mimi ni mpangaji mpya kwenye nyumba hii”
“sawa ahsante”aliongea yule dada kisha akaondoka
baada ya yule dada kuondoka nikatoka pale mlangoni na kuludi ndani kisha nikakaa kwenye kochi
ilinifikirie nini cha kufanya kwani nilikuwa nimesha changanyikiwa kwa mda huo”
huuuuu pumzi ndefu ilinitoka bila kujijua huku kichwa changu kikizidi kuvuruguka kwa mawazo juu ya nifanye nini kwa mda huo
nikiwa kwenye hali ile ya kufikilia ndipo nikapata wazo la kumwagia maji haraka haraka nikanyanyuka na kuiendea ndoo moja ya maji iliyokuwa chumbani mwangu kisha nikayapunguza kwenye beseni alfu nikachukua taulo na kuanza kulilowanisha kisha nikaanza kumfuta yule mama mwili mzima lakini bado haikuleta unafuu kwani bado alizidi kuwa kimya
mmh nifanyaje” ni swali lililokuwa likijirudia kichwani mwangu kila sekunde
bila kupata majibu
kwa mda huo,
nikiwa katika dimbwi lile la mawazo mara mama mwenyenyumba akaanza kuamka kwa tabu tena kwa uchovu
mkubwa huku akipepesa macho yake kwa tabu sana
“diiii” aliita yule mama kwa tabu huku akipepesa macho chumba kizima kwa pupa
nilibaki kimya pale kwenye kochi nikimuangalia mama mwenyenyumba ambae alionekana amepoteza kumbukumbu kwa mda huo
“d nini kimetokea” aliongea mama mwenyenyumba kwa dhumuni la kutaka kujua nini kimetokea
niliendelea kukaa kimya kwa mda kwani sikuwa na jibu sahihi la kumjibu mama yule
mmh nilijikohoza baada ya mda kidogo kishanikanyanyuka kuelekea pale kitandani na kumfata yule mama ambae alionekana kutorejewa na kumbukumbu kichwani mwake
hofu nilyokuwa nayo ilipungua kiasi na kujikuta nikiupoteza uleukimya uliodumu kwa masaa kadhaa
“unajisikiaje” niswali nililomuuliza punde nilipokaa kitako pale kitandani
“ulikuwa umepoteza fahamu masaa kadhaa yaliyopita ndio maana nimekuuliza hivyo” niliongea kwa pupa baada ya kumuona yule mama akikaa kimya na kuniangalia usoni kwa macho yake yaliyojawa utafakari mkubwa
uleukimya niliouvunja mda mchache uliopita sasa ukajirudia kwani yule mama aliendelea kukaa kwa dakika kadhaa kisha akanyanyuka kutoka pale kitandani na kuelekea kochini kisha akaanza kuvaa nguo zake harakaharaka bila kuongea kitu na alipomaliza kuvaa akaanza kuhesabu hatua kuufata mlango kwa hatua za haraka kisha akatoka nje kuelekea kwake akiwa katika hali tofauti iliyoanza kunipa wasiwasi zaidi….
Hamu ya kutaka kujua nini kimempata mama yule ilinishika ghafla lakini nilishindwa kumuuliza kwani aliondoka pale chumbani kwa haraka na kusikia mlango wa chumbani kwake ukifungwa kwa nguvu
hofu ilinipata kiasi lakini nilijipa moyo huenda yule mama ameona aibu kwa mambo makubwa niliyomfanyia siku hiyo
nilinyanyuka pale kitandani huku usoni mwangu nikichanua tabasamu la haja lililonipa kiburi cha kujiona mwanaume wa shoka
hakika kama ningejua nini kitanitoke masaa kadhaa mbele basi ningeama nyumba ile na kuamia mtaa mwingine au hata ningeama jiji lile kwani aibu iliyokuwa inaniwinda ni kubwa sana
baada ya kutoka pale kitandani nikaelekea kochini ambapo ndipo nilipoacha bukta yangu wakati mechi inaanza
niliinama na kuchukua bukta yangu kisha nikaanza kuiweka mwilini mwangu huku nikimpongeza kasuku wangu kwa kutoa dozi iliyokuwa inamchanganya kila mwanamke anaekutana na mjeredi huo
baada ya kumaliza kuvaa bukta ile ndipo nilipokumbuka kuwa sikutia chochote tumboni mwangu
nikatupa macho yangu ukutani ili kujua ni saa ngapi nikabaki nimeduwaa baada ya kutambua mda huo ni saa nne usiku
njaa iliyokuwa inaanza mashambulizi taratibu mda huo ilizidisha mashambulizi yake tumboni na kunilazimu nitoke pale chumbani kwa haraka niende kutafuta chakula japo nilijua mda huo sehemu nyingi za kuuza vyakula zitakuwa zimefungwa lakini kutokana na njaa ile ikanibidi nishike njia kutafuta chakula japo mda ulikuwa umeenda sana
nikaanza kutembea kwa harakaharaka nikielekea kwenye mgahawa mmoja ambao unachelewa sana kufungwa na ndipo nilipoweka oda mchana japo sikwenda kufata chakula kile
mwendo wa harakaharaka nilioutumia mda huo uliifanya safari ile kuwa nyepesi sana kwani hazikupita dakika nyingi nikawa nimeshawasili pale mgahawani
kufuri kubwa ilikuwa pale mlangoni ni utambulisho tosha kuwa hudumu za chakula zilikuwa zimeisha kwa siku hiyo,
miungurumo ya tumbo iliendelea kuleta taarifa kuwa tumboni mwangu hakukuwa na kitu
kwa mwendo wa taratibu nikaanza kuhesabu hatua kuludi nyumbani huku njaa kali ikiendelea kunipa wakati mgumu sana
hakuna baunsa kwenye njaa ni msemo ambao nilianza kuona maana yake siku hiyo kwani njaa ile iliyoambatana na nguvu kubwa niliyoitumia kwenye mchezo ule ilinipa wakati mgumu zaidi
nililudi chumbani kwangu na kujitupa kochini huku nikiwaza usiku wa siku hiyo utakuwa mrefu sana kwakuwa sijaweka chochote tumboni mwangu
nilijitandaza kochini huku nikisikilizia miungurumo ya njaa ile kali isiyokuwa na huruma
ama kweli tumbo haliriziki hata ule nini
nilianza kuutafuta usingizi japo kwa shida sana huku nikijipa moyo mara kadhaa
kwa masaa kadhaa niliyokuwa najibembeleza pale kitandani hatimae nikapitiwa na usingizi japo ulikuwa wa mang’amung’amu ila nilijitahidi kupambana nao
sikumbuki nilipitiwa na usingizi na mda gani ila nilikuja kusituka baada ya mwanga mkali wa jua uliopenya dirishani kunimulika usoni
nilinyanyuka kiuvivu hadi pale dirishani huku nikitoa misonyo ya kulaani uwepo wa jua kwa mda huo
baada ya kuhakikisha nimerudisha lile pazia vizuli na hakuna mwanga unaopenya tena nikarudi pale kitandani na kujiraza tena kitandani
ule usemi wa bahati haiji marambili ndio niliuamini kwa mda huo kwani ile bahati ya kupata usingizi jana yake tena nikiwa na njaa haikujirudia tena zaidi niliendelea kujigaragaza pale kitandani huku njaa ikianza kujirudia kwa nguvu
harakahara nikatoka pale kitandani na kuelekea kwenye kopo langu la kuifadhia mswaki na dawa nikachukua mswaki niliopanga kuutumia siku hiyo kisha nikaiweka dawa ile ya meno alafu nikachota maji kwenye kopo kisha nikazunguka nyuma ya bafu na kuanza kuswaki huku njaa ile ikianza kuleta mtafuruku tumboni mwangu
nilipiga mswaki ule kwa haraka nikiwa na dhumuni la kutaka kuwahi chai kwa mama ntilie japo mda ulikuwa bado wa kumaliza chakula
hazikuchukua dakika nyingi nikawa nimeshamaliza kupiga mswaki taratibu nikaanza kupiga hatua kurudi chumbani mwangu
nilipata kushangaa kiasi baada ya kuona chumba cha mama mwenye nyumba kikiwa kimefungwa kwa kufuri kubwa
mmh yani huyu mama muoga sana mechi kari niliyompa imemfanya hadi asafiri bila kuni taarifu “niliongea kwa sauti ya chini huku nikitikisa kichwa na kuchanua tabasamu pana…..
ITAENDELEA
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments:
Post a Comment