Safari Ya Mapenzi - sehemu ya saba 07 B
“Ingieni mlango haujafungwa” nikakinyonga kitasa na kuingia ndani.Ghafla nikajikuta nimefunga breki za ghafla kwa kitu nilicho kishuhudia. Mage na mumewe walikuwa wakipigana wakiwa wamevaa nguo za ndani pekee.mage alikuwa amevaa chupi ndogo nyeupe na sidiria nyeupe iliyoyafunika matiti yake madogo na kuyafanya yasimame na knitamanisha Kwa sekunde kadhaa nilibaki nimesimama nimepigwa na bumbuwazi na macho yangu yalikuwa yameelekea katika mwili ule mwororo,mweupe wa mage Kwa jinsi nilivo kuwa nikiheshimiana na mage, nilijikuta napata uwoga na kutaka kurudi nje
“Isack nisaidie anataka kuniua huyu” mage akaomba msaada.ikabidi nisitishe kitendo cha kutaka kurudi nje,Badala ya kuwaamua ugomvi nikabaki kukodoa macho kwa mage.
“Isack nakuheshimu sana nakuomba tafadhali utoke ndani mwangu haraka .Usijaribu kuingilia mambo yasiyokuhusu.” mume wa mage akasema kwa ukali na kunishitua ..
“Isack usimsikilize huyu shetani…nisaidie ananiumiza !!! Mage akapiga ukelele.
” tafadhal……………” Nikajaribu kuongea lakini mume wa mage akanizuia
“Isack nakwambia toka humu ndani mwangu haraka sana.Nani kakupa ruhusa ya kuingia humu ndani? Ugomvi wangu mimi na mke wangu unakuhusu nini? tafadhali ondoka haraka sana kabla sijakufanyia kitu kibaya ” mume wa mage akasema kwa ukali huku ameikamata mikono ya mage kwa nguvu
“Isack nisaidie ananiumizaa!!!!! …..mage akalia huku akijitahidi kujitoa katika mikono ya mumewe. Nikamuonea huruma mage alivyokuwa akilia nikashikwa na hasira
“nakuomba tafadhali usiendelee kumpiga mkeo.Nakuomba ndugu yangu niko chini ya miguu yako muache mkeo.Unamuumiza ” nikasema taratibu ukunikimusii amuachie mkewe.
“Isack naona hujanifahamu vizuri mimi ni nani.Nimekwambia ugomvi wangu mimi na mke wangu unakuhusu kitu gani? Tafadhali ondoka humu ndani mwangu haraka.” akafoka.
“Mshenzi wewe humu ni kwako? Una kitu chochote unachoweza kusema ni chako humu ? ” mage akamwambia mumewe kwa ukali.Kwa hasira akamnasa kibao kizito.
………je isack atafanya nini??? Usikose mwendelezo
TUKUTANE SEHEMU YA NANE

🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments:
Post a Comment