NDUGU WA MUME PUNGUZENI GUBU - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, December 17, 2019

NDUGU WA MUME PUNGUZENI GUBU





NDUGU WA MUME PUNGUZENI GUBU
Leo nataka kuzungumza na ndugu wa mume wasoisha viranga hasa MAMA MKWE 
Wakina mama punguzeni midomo jamani waacheni wake wa watoto wenu wafurahie ndoa zao msiwakalie kooni kisa ni wakwe zenu

Wamama hamtulii majumban mwenu kutwa kiguu na njia majumbani kwa wakwe zenu mkifika huko sasa,ratiba za chakula mnapanga nyie, budget ya ndani mnapanga nyie, wengine wanadiriki hata kushikilia remote za tv ni vile wanataka wao

Mama mkwe ukifika kwa mwanao basiii mahasugeli tena basiii hawakai kwa hila zako 
Mamkwe ukifika kwa mkweo vikao vya kesi haviishiii

Mama mkwe kila shughuli unataka mke wa mwanao akugharamie wakat una lundo la mabinti  eti ooh si hela za mwanangu 
Mama mkwe kutwa kutuma watoto wa nduguzo kukaa na mke wa mwanao  utasikia eeh wanakuja kwa ndugu yao awasomeshe huku ushawatia sumu wakupe ramani ya kila kinachoendelea hapo ndani . Hao watoto wakifika sio kwa visa hivyo humo ndani 
Mamkwe kulazimisha kila kitu hata kama watu walishapanga yao utaskia December lazima muje muwalete wajukuu zangu 
Hao wakwe zenu wakifika huko vijijini wao ndo punda wa kuwafanyia kaz we na wanao miguu juu 
Hamna jema mama wa mume wake za watoto wenu wa kiume wanashindwa kufurahi ndan ya ndoa zao kisa nyie 
Sasa usiombe ukapata mume wa my mom this my mom that yaan kila mtachopanga ndan utaskia ngoja niongee na bi mkubwa. Mtotp wa kiume huez toa maamuz yako kama mume na kichwa cha familia mpk mama zenu waingilie kati jamaniii 
Hii ni baadhi ya mamkwez na si wote ivoooo



  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa