Kuna mwalimu wa shule moja ya sekondari alikuwa amezoea kumchapa viboko mwanafunzi mmoja mchelewaji mwanafunzi huyu alikuwa akichelewa Sana kipindi cha kwanza,kila siku.hivyo siku ambazo mwalimu huyu alikuwa Na kipindi cha kwanza,mwanafunzi huyu alikuwa akichapwa kabla ya kuingia darasani Na kuendelea Na vipindi,hali hii iliendelea kwa muda mrefu wiki moja ilipita bila mwanafunzi yule kufika shuleni Na baada ya wiki iyo moja kuisha wiki iliyo futa mwanafunzi huyo alifika shuleni mapema sana hata kabla ya wanafunzi wenzake kufika Na sio kawaida yake.
” Mwalimu yule alipo ingia darasani Na kumuona mwanafunzi huyo alifurahi Sana kisha alitoka Na kusubiri wanafunzi wote kufika kisha mwalimu uyo alirudi darasan kwa maranyingine tena kisha alimuita mwanafunzi yule Na kumwambia asimame mbele ya darasa kisha Ali amuru darasa kumpigia makofi Reila kwa sababu Leo kawai kufika shuleni,kawa mwanafunzi wa kwanza kufika shuleni”mwalimu alisema kumbe fimbo zili saidia eeeeh”.
“Wanafunzi baadhi walipiga makofi uku wengine waki mcheka mwanafunzi REILA baada ya wanafunzi wa chache kumcheka Na wengine kumfanyia dhihaka,REILA alimuomba mwalimu nafasi ili aongee jambo
” MWALIMU:alimpatia ruhusa ya kuongea jambo hilo
“REILA,kwa sauti ya upole akasema mwalimu kwa siku zote nime kuwa ni mchelewaji Sana kufika shuleni wanafunzi Na mwalimu pia walitega maskio kwa umakini Na kusikiliza nikipi reila anataka kukizungumzia kisha aliendelea kwa kusema nilikuwa Na muuguza mama yangu Na baba yangu alifariki nilipo kuwa mdogo Sana ivyo nili lelewa Na mama yangu tu pia sikubahatika kujuana Na ndugu yeyote katika maisha yangu,
Mama yangu mzazi alipo kumbwa Na maradhi ghafla nili chukua jukumu la kumpeleka hospitalini hivyo ata maradhi yake kwa uchunguzi wa dokta hayakuweza kuonekana hivyo dokta akaruhusu mama yangu kurudi nyumbani uku akiwa Na dawa za maumivu tu,kwa sababu hatukuwa Na uwezo wa kifedha mama yangu hakuweza kupelekwa popote kwa ajili ya vipimo zaidi.
” REILA:aliongea kwa uchungu Sana kisha kufuta machozi yaliyo kuwa yaki mtililika mashavuni pake aligeuka Na kumtizama mwalimu wake kisha aliendelea kusema,
Hivyo kwa kipindi chote nilicho kuwa Na muuguza mama yangu,nilitingwa Na kazi nyingi Sana ambazo zilikuwa ni kufanya usafi wa nyumba,kuosha vyombo,kuchota maji Na kumsafisha mama yangu kumuandalia chakula chake kabla ya kuja shuleni.
“REILA,alinyamaza kidogo kisha akaendelea kunuelezea mwalimu pamoja Na darasa kiujumla ivyo Leo Hi nimewai kuja shule ni kwa sababu mama yangu Ali fariki wiki iliyo pita ivyo nilikuwa kwenye taratibu za kumzika mama yangu ambae sasa ivi sipo nae tena duniani Na icho ndicho kitu kilicho kuwa kinanifanya nichelewe kufika shuleni sasa ivi kimeondoka ndio maana Leo nimefika shuleni mapema baada ya kusema yote hayo
” REILA,akuweza kuongea tena taratibu aliteremka chini Na kulia kilio cha kwikwi
“Na apo kila MTU aliguswa Na maneno aliyo kuwa akiyatamka mwanafunzi wenzao Reila kila mmoja alilia Na darasa liligeuka kuwa sehemu ya maombolezo.
” FUNZO :
USI MUHUKUMU MTU BILA KUMPA NAFASI ATA NDOGO TU YA KUMSIKILIZA.
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments:
Post a Comment