MWANAMKE USAFI BIBIE - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Wednesday, December 11, 2019

MWANAMKE USAFI BIBIE






MWANAMKE  USAFI BIBIE ✍mwanamke lazima uwe msafi yaani usafi wa mwili na chumbani kwako 
Panga vitu vyako vizuri hata km huna kitanda weka godoro lako vizuri tandika shuka nzuri kutapendeza tu. 
_

_ ✍kuna baadhi ya wanawake utakuta chumbani kwake minguo imezagaa kila kona hata muda wakufua hana wala wakuzikunja weka vitu vizuri hata kama huna kabati panga nguo zako hata kwenye shangazi kaja. mwanamke usafi huanzia chumbani kwako amka mapema muande mumeo ukiamka cha kwanza uoge pili swala cha tatu mpe mumeo bao la asubuhi. 
_

_ muandalie chai mumeo akienda kazini msindikize hadi getin  mpe busu mwambie kazi njema mume wangu Allah akuhifadhi na akurudishe salama. rudi ndani fanya usafi wako mama safisha chumba chako vizuri tandika shuka nzuri mume akiona atamani kitu furani. 
_ kuna baadhi ya wanawake hutandika shuka nzuri mchana tu lakini usiku anatandika shuka kama gunia la pumba.... tandika shuka nzuri mumeo alalie hizo zingine wape watoto walalie shuka ikiwa nzuri hata hamu ya jimai inakuwepo kitanda sharti kipendeze. 
_

_ pia kuna wanawake hawaogi et mpaka wamalize kazi unatakiwa mwanamke uoge asubuhi tu sio wapika chai ya mume huku wanuka jasho la bao la Asubuhi.... mwanamke unatakiwa muda wote upendeze kwa mumeo sio unasubiri shughuli kwa jirani ndio unapaka wanja na hinna.... _

_ jipambe kwaajili ya mumeo ili upate radhi za Allah mume ana heshma kubwa ila tunazarau tu lakini mume anatakiwa kunyenyekewa na kupewa mawazo mazuri..... _ muda mwingine mume anarudi hayupo vizuri boss kamvuruga anategemea mke wangu ataniriwaza maskini akirudi hata mpango nae huna wallah hii aibu kwa mtoto wakike..... _ 
_ ✍lazima uwe na huruma na mumeo mwanaume ni kama mtoto muda wote anahitaji kubembelenzwa mke mwema humfanya mume wake awe na furaha muda wote...... 


  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa