💐Mwanamke kabla hajaolewa huutunza uschana wake kwani ndio taji peke la heshima pale aolewapo - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, December 16, 2019

💐Mwanamke kabla hajaolewa huutunza uschana wake kwani ndio taji peke la heshima pale aolewapo





💐Mwanamke kabla hajaolewa huutunza uschana wake kwani ndio taji peke la heshima pale aolewapo. 💐Ikitokea aliuharibu uschana wake basi hujutia na kutorudia kitendo kile kama mazoea kwake na huwa mbora zaidi akijutia. 
_ 💐Mwanamke huanza kujifunza kwao maisha kwani kwa mume huwa ni mechi lakini mazoezi yote mke hufanyia nyumbani mfano mapishi,usafi,tabia na nzuri. 💐Mwanamke mwema huwa mnyonge na hawezi shindana kwani sifa ya mwanamke ni utulivu sio ukorofi kama walivo simba jike porini. 
_ 💐Mwanamke anaejielewa hutumia upole kuwa ndio ngao yake kwani hakuna mwanaume anaeweza kushindana na mwanamke mpole asiejali mambo mabaya anayoletewa habari kuwa mumewe kafanya kile nje mwisho mwanaume hujishusha kwa upole wa mkewe. 💐Mwanamke hodari haambiwi kazi za kufanya na mumewe bali mume humpa pongezi kwa kuona mazuri ndani usafi ni jambo la msingi kabisa ndani. 
_ 💐Mwanamke hutambua hali ya uchumi ya mumewe na humshauri katika maendeleo na humuhurumia mumewe hata kama kuna siku karudi hakupata. 💐Mwanamke anaejielewa humpokea mumewe katika furaha na huzuni hata kama aliokuja nayo mumewe ni masualo ya wazazi wa mume. 
_ 💐Mwanamke huwajali wazazi pande zote mbili wengine hutumia ujanja wakawapenda zaidi wazazi wa mume. 💐Mwanamke sio kujipikilisha anatakiwa kutambua kuwa hilo hatolikwepa kama kifo kupika ukiolewa na jukumu la kusaidiana ambalo mke ni vizuri kujiweka vizuri katika idara ya kumpikia mume vizuri hata kama masikini na hali yao ya kimaisha lakini hupika kikaiva. 
_ 💐Mwanamke humkumbusha mumewe katika amri za MUNGU licha ya kuwa kupata wivu juu ya kuongeza mke hatolifurahia lakini hujitahidi katika kumuamrisha mumewe katika Sala na mambo ya kheri. 💐Mwanamke huwa hatoki ovyo ovyo nyumbani kutoka kwake ni kama dharura iliomlazimu au anasaidiana na mumewe katika kutafuta. 
_ 💐Mwisho ukitaka huyu mwanamke awe hivi basi wewe mwanaume muhudumie mwanamke kwa ulichojaaliwa na mridhishe atakavyo kimwili wala usiwe baghili katika hili kisha unanufaisha vimada wa nje kimwili na kiuchumi.




  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa