Fahamu kuwa Mapenzi sio 🍃force wala ubabe wala ubwanyenye ......🍃❤🍃
Kinachotakiwa ni kuwa mwenye Upendo na mwenza wako ulio wadhat kwake ili Ayafurahiye maisha yake kwako 🍃❤🍃
Kuwa mwenye kumjali Mwenza wako.Mbembeleze kimahaba kila ukiwa nae karibu na tumia simu ukiwa mbali nae kwavimasege vya mahaba🍃❤🍃
Mpe penzi lenye kumridhisha sio la kuondowa njian kialimradi tuuu
......Mapenz yenye kuridhisha ndio yanayokata kiu yenye hisia za kimapenz 🍃❤🍃
🍃❤🍃Hakikisha anaridhika nawe kimapenz ndipo utakapomfanya atuliye nawee 🍃❤🍃
Mapenz ni Nipe nikupeeee.....Mpe mapenz mwenza wako nae Atakupa Mawadah🍃❤🍃
Sabah lkheyr
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments:
Post a Comment