KWENU WADADA WANAWAKE TUKIOLEWA TUUNGANISHE FAMILIA NA TUSIWE WABOMOAJI. - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, December 26, 2019

KWENU WADADA WANAWAKE TUKIOLEWA TUUNGANISHE FAMILIA NA TUSIWE WABOMOAJI.





KWENU WADADA  WANAWAKE TUKIOLEWA TUUNGANISHE FAMILIA NA TUSIWE WABOMOAJI.
👨‍👩‍👧‍👦👨‍👩‍👧‍👦👨‍👩‍👧‍👦👨‍👩‍👧‍👦 Naomba niwausie wanawake  ambao, wameolewa na kwa wale wanaotarajia kuolewa  namna ya kujenga na kuunganisha familia yako. 
Kwanza lazima mjue kuwa moyo wa mwanaume umegawanya mapenzi yake kwa wanawake wanne anaowapenda sana iko hivi kwa kila mwanaume aliyekamilika 
Upendo wa kwanza wa mwanaume ni kwa yule mwanamke aliyemzaa ambaye ni mama ake 
Upendo wa pili ni kwa dadake waliyezaliwa tumbo moja 
Upendo wa tatu ni kwa mke wake atakaye muoa au aliyemuoa tayar 
Upendo wa nne ni kwa binti yake aliyemzaa yeye 
Wanawake hawa wanne kila mmoja akisimama katika nafas ake basi Amani itatawala kuanzia ngaz ya familia mpk ukoo 
Hapa nita dadavua upendo wa tatu kwa mwanaume ambao ni MKE 👨‍👩‍👧‍👦Mwanamke unapoolewa kumbuka unaenda kwa familia nyingine mpya, yenye baba, mama, kaka na ndugu wa mumeo. 👨‍👩‍👧‍👦Wewe ndio huwa kiungo muhimu na mhimili wa aidha umfanye mumeo apende au asielewane na ndugu zake kabisa kwa namna wewe utakavyoishi nae, katika kumjenga na kumshauri . 👨‍👩‍👧‍👦Tukumbuke  hakuna kitu kizuri kama heshimu. Onyesha heshima kwa kila mtu katika ndoa yako kwa kujistiri na kauli nzuri kwa watu wote, jenga mazingira ya kupenda wasijute kwako kuingia katika familia yao. 👨‍👩‍👧‍👦Kuna wanawake wachoyo jamani anamnyima ndugu wa mume chakula ambacho kijana wao amekitafuta sio vizuri tujifunze kuacha uchoyo. 👨‍👩‍👧‍👦Roho mbaya! Kuna baadhi ya wanawake wana roho chafu kiasi cha kuwa hataki mume asaidie kwao hata kidogo. Huu ni ubakhili wa hali ya juu na Mwenyezi Mungu mtukufu anachukia watu mabakhili. 👨‍👩‍👧‍👦kuna baadhi yetu tuna tabia ya kununa familia ya mume wajapo majumbani kwetu kututembelea, hii ni tabia mbaya, badilikeni 👨‍👩‍👧‍👦Tabia ya Kunyanyasa na kuchongea watoto wa mumeo  kama ulimkuta alizaa kabla au ndugu zake mume kwa lengo la kuhamisha upendo kwa kaka yao, tuache, watendee wema watoto wa mwenzia kama vile wewe ungependa wako atendewe kwani maisha ni mzunguko na Allah ndie mpangali na mlipaji. 👨‍👩‍👧‍👦Mwanamke akiwa na hekma na busara atakuwa mlezi na kiunganishi ila akiwa jeuri na kibri atakua


  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa