Upo kwenye familia na mambo yanakwenda safi na salama lakini mwisho wa mwaka unakaribia ndugu jamaa na marafiki hutembelea familia na maeneno mbalimbali pengine nyumbani kwako panaweza kuwa sehemu nzuri ya kupokea wageni haswa haswa mashemeji na mawifi kutoka sehemu mbalimbali swali sasa ni vyakula gani unaweza kupika kuwafurafisha wageni wako kipindi hiki chenye mfululizo wa sikukuu
1.Pilau
Asikuambie mtu hata kama utandawazi umefunika Dunia nzima mtu anaweza kula popote kwa wakati wowote ila mgeni ukipikiwa chakula hiki na mwenyeji wako unakuwa na furaha ya hali ya juu hivyo ni vyema na vizuri kupika msosi huu unaopendwa zaidi kipindi hiki cha sikukuu
2.Biriani
Hiki ni chakula maalufu zaidi hasa mchana kwa watu wa pwani sasa ukiwapikia mashemeji ambao pengine wanatoka maeneo ya bara utawafurahisha kutokana na radha yake pamoja na mpangilio wa rangi wa chakula hiki
3.Kuku Rosti
4.Nyama Rosti (Mbuzi/Ng’ombe)
Tunarudi kulekule nyama ni nyama tu wageni wengi wanapenda chakula watakacho kikumbuka kwa muda mrefu basi radha ya rosti ni kila kitu kwenye meza yako ya wageni
5.Ugali
Wanaopenda ugali ni kutokana na aina ya mboga hakukisha ukipika ugali unakuwa na mboga nzuri yenye radha mujarabu na kitowozeo yaan hapa swala la mboga nane usilisahau sio ugali tu na mboga moja utawaudhi wageni wako maan Ugali ni chakula kinachokiwa kila siku na watu wenye uwezo wa aina yoyote nchini
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments:
Post a Comment