Mke wangu Ananiambia anatongozwa sana nifanyaje? - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, November 19, 2019

Mke wangu Ananiambia anatongozwa sana nifanyaje?



Mke wangu amenishangaza sana baada ya kuniambia kuwa akiwa kazini au mizunguko huko mtaani kuwa anatongozwa sana na wanaume mbali mbali lakini eti anawakataa wote....


Maswali yangu
Wataalam wa mambo hivi Inapofikia hatua mke wako wandoa anakwambia hivyo ina maana gani?
Hivi Kweli Mwanamke anaweza kwa siku atongozwe na wanaume watano na kuwakataa wote






No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa