Aina 6 ya marafiki ambao hutakiwi kuwakosa - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, November 25, 2019

Aina 6 ya marafiki ambao hutakiwi kuwakosa

Jaribu kutafakari maisha bila marafiki, ni ngumu kwa kweli. Kuna kitu spesho sana unapokuaunatengeneza marafiki. Unacheka nao, unalia nao, unaweza kujijua mwenyewe kupitia wao, wanakufanya uwe bora bila hata kujua.
Kuwa na marafiki wazuri kunazidisha uwezekano wa kuishi muda mrefu kwa furaha na afya tele. Kama hauna marafiki jua unakosa vingi sana. Jifunze aina sita ya marafiki, kila mtu anahitaji kua nao kwa manufaa yake binafsi.
Marafiki waaminifu
Image result for Marafiki
Hawa ni marafiki wa kufa kupona, yaani wapo radhi kufanya lolote juu yako na wewe uporadhi kufanya lolote juu yao. Hawakujaji wala kukuhukumu, wanakuelewa, wanakuheshimu. Yaani ni kama ndugu wa damu, wanajua undani wako, siri zako nawe unajua zao.
Marafiki wa zamani
Hawa ni maarfiki ambao umepitia nao steji nyingi za maisha, yaweza kuwa utotoni, shuleni na kwingine. Hawa ni marafiki ambao unaweza kuwa unawathamini kuliko hat awale wanaokuja na kuondoka. Jinsi urafiki wenu unavyodumu, unaonyesha kwamba hawawezi kukuacha hata iweje licha ya kuwa hamna ukaribu sana.
Marafiki wapya
Hawa ni muhimu sana kwa sababu wanawakilisha mabadiliko unayoyapitia katika maisha yako katika Nyanja mbali mbali. Urafiki mpya waweza anza katika namna ambayo hata hujategemea, wanaweza kua rafiki wa marafiki. Ni watu ambao wanaweza kutupatia mabadiliko tunayoyahitaji au kutupa mwanzo mpya.
Marafiki wathubutu
Hawa hawaogopi lolote, ukiogopa kufanya kitu, wanahakikisha unakifanya bila woga wowote. Hawa ni wale ambao ukiwakumbuka unasema, nisingefanya kitu Fulani kama isingekua yeye. Urafiki wenu unaweza usiwe na uhakika, lakini ni watu ambao bila wao, kuna vitu usingeweza thubutu kuvifanya maishani.
Marafiki msiofanana
Kutofanana kwaweza kua imani, tabia, na vingine lakini mnajikuta ni marafiki. Tofauti zenu zinakusaidia kuwa na mtazamo tofauti juu ya mambo ya ulimwengu na kukufanya kuwa na uelewa mpana. Marafiki hawa watakufanya uondokane na tabia za kiubaguzi. Kama unadhani rafiki lazima awe kama ulivyo, basi unakosa vingi. Waweza kua mpole na kuhitaji rafiki mchekeshaji.
Rafiki mwenye Busara
Hawa wanakupamwongozo. Wanaweza kuwa wakimya, lakini wasikivu sana kwako. Ukifikwana mazito, wako pamoja nawe kukusaidia kuyatatua. Wanaweza kukwambia mambo usiyopenda kuambiwa lakiniwanafanya hivyo sababu wanakujali na wanaona unahitaji
Ukiwa na marafiki wa aina hizo tofauti, maisha yako yatakua murua. Huwezi fanya kila kitu mwenyewe.
Aina gani ya marafiki uko nao kwa sasa, unawaonaje?



  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa