NAMNA YA KUMFANYA MWANAMKE AMWAGE(AKOJOE) - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, July 28, 2019

NAMNA YA KUMFANYA MWANAMKE AMWAGE(AKOJOE)

Baadhi ya wanawake hufikia kilele mara moja tu (tena kwa shugulikiwa kisimi sio ule uhondo wa kumani) kila wanapofanya mapenzi/ngono na wachache wamejaaliwa na hupata uhondo wote wa kufanya mapenzi yaani wanaweza kufika kileleni zaidi ya mara mbili katika tendo/mzunguuko mmoja.
Ujuzi au utundu wa mwanaume hausaidii ikiwa mwanamke mwenyewe hajiamini na vilevile hajui ni kitu gani kina “kunyegesha”.
Mwanamke anasehemu mbili maalum zinazopelekea kufikia kilele ikiwa zitafanyiwa kazi vyema sehemu hizo ni Kisimi na “kipele G”
Wanawake wengi tunakasumba ya kukimbilia “mikao” migumu tukiwafikiria wanaume wetu, sasa mimi nasema hivi; ikiwa unamatatizo ya kufika kileleni hakikisha mnaanza na “mkao” ambao unajua wazi unakufikisha ktk dakika chache badala ya kukimbilia “doggy” ukijua wazi mumeo/mpenzi wako ana mboo fupi au hajui/hujui “kipele G” kiko wapi?Kifo cha mende #1. Huu ni “mkao” wa kizamani au kilokole (kufanya mingine ni dhambi hahhahaha) ila mimi binafsi na ufagilia sana.“Mkao” huu umeboreshwa na unaweza kuufanya katika “pembe” tofauti inategemeana na wepesi wako, Ila hizi pembe mbili nakupa hapa ni maalum kumuwezesha mwanamke afikie kilele.
Kama kawaida lala chali huku miguu imepanuliwa, wakati Jamaa yuko juu yako, kunja sehemu ya magoti kueleke kifuani, kisha egesha miguu yako kwenye mabega yake.Hii itazidisha kina cha uke na kufanya uume uende chini zaidi na “kukandamiza” mwisho wa uke na ukitoka huko unasugua sugu “kipele G” kabla haujatoka kabisha na kulamba kisimi na midomo ya K na hivyo utapata raha katika sehemu zote za uke wako.
Kifo cha mende #2. Mwanamke juu….ukiwa tayari kalia “mzingo” kisha mpe ile ya 1-10 na fanya hii kwa ajili yako ondoa maswali yako kuwa “sijui anasikia raha, sijui sio hivi sijui nini” mh-mh wewe jifikirie mwenyewe kwanza, unajua hawa viumbe sio lazima wafike ndio wawe wamefurahia tendo bali kitendo cha wewe kuonyesha unafurahia au jinsi unavyoteseka kufika yeye anapata raha…..
Mara baada ya kufika sasa ndio anza kumfikiria yeye na hapo ndio anza kumpa mauno, mpe mbele-nyuma, huku na kule, juu-chini huku wakaza mboo yake namisuli ya uke…..vyovyote uwezavyo na kama umeumbwa ka’ mimi basi unaweza pata bao la pili na mzunguuko haujaisha pao!Real entry (a.k.a Doggie). Hii ni tofauti kiduchu na ile ambayo wengi huwa mnaifikiria/fanya ambayo mwanamke huwa hafiki kiurahisi na hapo “fake kilele” hujitokeza kwa vile ama inauma au kachoka.
Ninachojaribu kusema hapa ni kuwa “chuma mboga/mbuzi kagoma” wanawake wengi huwa haiwafikishi kileleni na huwa tunafanya hivyo kwa ajili ya wanaume na wanaume huwafikisha haraka kutokana na kile kitendo cha kuona inaingia na kutoka na uzuri wa matako yako yanavyo “lindimika” ka’ jelly hahahahaha.
Wewe mwanamke ili ufike kileleni basi inakuwa hivi mwanaume analala chali huku kichwa kikiwa juu ya mto (ili aweze kuangalia kazi yako).
Wewe unatakiwa umpe mgongo alafu ingiza uume kisha “support” uzito wako kwa kushikilia godoro, Wakati wewe unaenda juu- chini, yeye akusaidie kwa kukushika kiuno au matako, hakikisha uume wote unaingia hadi mwishoni kwenye makende/pumbu pale alafu usiwahi kurudi juu hakikisha unajisugua kiaina ili kuona wapi panakunika alafu jiweke kwenye pembe hiyo.
Kumbuka wewe ndio “dereva” hapo kwa hiyo endesha vema kwani ukikosea kidogo tu atakuacha (kutokana na anachokiona).
Ukiona haiji haraka basi nyoosha miguu yako bila uume kutoka ukeni na hapo utakuwa umelalia tumbo kwenye mapaja yake na miguu yako inatazama uso wake, panua miguu yako vema kisha mpe “pumps” (rafiki yangu mmoja husema mpige tako hahahahaha)…..hapo lazima utafika tu…..Vilevile unaweza simamia magoti na mikono (kama mnyama) panua miguu kidogo na Jamaa atapiga magoti nyuma yako na kuingiza uume kwenye uke, unapaswa kujituma kama ni ndani-nje, huku na kuko, mbele- nyuma, kuzunguusha kiuno chaguo ni lako, lakini ukifanya vyote ndio raha zaidi.Chap-chap#1.
Hii inaweza ikafanywa bila kuondoa nguo zote unashusha kidogo hadi magotini “kitu na Box”, nah ii lazima wote muwe naminyege lundo. Alafu ikiwa wewe ni mfupi itakuwa ni kituko kwani itabidi upande juu ya “kistuli” au upange matofali kama sio kubebwa (inategemea mko ktk mazingira gani) ili uume uingie vyema na kwenda “kukandamiza” uke wako kwa ndani na wakati wa kutoka basi upitie vema kisimi.Chap-chap#2. Anataka wewe akili iko kwenye kuosha vyombo n.k. Mpenzi wako kwanini umnyime ei? Simama alafu uiname kidogo, pitisha mate kidogo juu ya uke wako alafu ingiza na kidole ili mate hayo yalainishe njia…kisha panua mguu mmoja ili kuuwezesha uume uingie vizuri, ukishaingia rudisha mguu kidogo ili uume “usichomoke”, wakati jamaa anakwenda juu-chini mikono yake ichezee kisimi ili kuongeza raha ya mnachokifanya .Ubavu #1(a.k.a 11).Lalia ubavu na ugeukie upande wa pili, jamaa akiwa nyuma yako ataingiza uume ndani ya uke kwa kupitia nyuma, “mkao” huu hufanyika katika mitindo tofauti kama ilivyo kifo cha mende ila huu ni wa kivivu zaidi lakini itakufikisha kunako uhondo.Ubavu#2(a.k.a 14).Yeye analala kama #1, wewe jishushe kiasi kisha jikunje kama nne alafu rudisha matako yako kwa nyuma uswa wa uume wake kisha inua mguu wako ili aingize uume ukeni mwako, rudisha mguu chini kisha anza kujiangaisha kwa kukata kiuno au vyovyote uwezavyo wakati yeye anakupa nje-ndani….Kitendo cha mapaja yako kubanana kitakupa raha kwenye kisimi na hata utamu na uume nao utakuwa umeubana na hivyo kusugua kona zako huko ndani.Vyura.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa