MTUMIE MPENZI WAKO SMS KAMA HII ILI KUDUMISHA MAPENZI YENU - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Friday, July 5, 2019

MTUMIE MPENZI WAKO SMS KAMA HII ILI KUDUMISHA MAPENZI YENU




















=> Sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi yako, wewe ni wa kipekee maishani mwangu mwenye kujua hisia moyoni mwangu. Mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi.
=> Mapenzi c pombe lakini yanalewesha, wala c kidonda lakini yanatonesha, wala c maradhi lakini yanaumiza, wala si njaa lakini yanakondesha. Mapenzi ni uvumilivu kwa umpendaye.
=> Nakunjua moyo wangu huishi milele maishani, nafungua nafsi nikupende wewe pekee. Nafunga milango ya moyo wangu ili kutopokea ugeni wowote wa moyo zaidi yako mpenzi. Nakupenda sana beib.
=> Mmmh! Cjui ni kwa nini nahamu ya kufaidi penzi lako kiasi hiki? Natamani laiti ungekuwa karibu yangu unipime gonjwa hili na unitibu pia. Kwani wewe ndiye daktari wa pekee ni naye mwamini. Nimemiki kila kitu kutoka kwako. Nahisi nazidi kuchanganyikiwa kwa ukosefu wa penzi lako.
Sijui nikuekleza namna gani uelewe yaliyionijaa moyoni kwani kila nifikiriapo kwanini una walakini na hutaki kuniamini kama wewe pekee ndiye ninayekupa mahaba yangu makini, mpenzi rudisha yako imani ni wewe pekee nayekupenda hapa duniani!
Moyoni naumia kila napofikiria yale uliyonitendea, sijui nini nilikukosea kama mapenzi ya dhati naamini nilikupatia na moyoni nilikuwa najivunia na kujiona zaidi ya mfalme katika hii dunia kumbe kiini macho ulikuwa wanifanyia leo najutia muda ulionipotezea, kumbuka nilikupenda!
Nakiri kweli nimekukosea naomba msamaha kwa yote yaliyotokea hakika nimekukwaza lakini kwa kuwa hii ni yangu mara ya kwanza naamini utanisamehe la azizi na kunipa nafasi yakulienzi lako penzi.
Mpenzi nimekumiss jamani, sipati meseji wala simu sijui kwanini, nikikumbuka tunayofanyaga kitandani, natamani ungekuwa nami pembeni nakunipa mahaba yasiyo kifani, nakupenda si utani hani.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa