RUHUSU UPENDO UTAWALE KATIKA MAHUSIANO YENU - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, June 1, 2019

RUHUSU UPENDO UTAWALE KATIKA MAHUSIANO YENU




Unapokuwa katika mahusiano yakubidi ujihisi upo kwenye ulimwengu wa pekee wewe na mwenza wako,,,,,,lazima muwe na maisha yenu ya kipekee ambayo kila mmoja atajivunia uwepo wa mwenzake,,,,haijalishi mpo katika hali gani lakini inabidi mruhusu upendo utawale mioyoni mwenu na kila mmoja aweke tamaa pembeni aridhike na mwenzake ili maisha yenu ya mahusiano yawe ya maana na mazuri.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa