Habari yako msomaji wangu,, leo naomba nitoe mwanga kidogo juu ya hili,,kuwa mume bora so kuwa na pesa pekee yake,,,,unaweza ukawa na pesa lakini ukakosa vigezo kwa kuwa mume bora,,,unakuwa na pesa lakini hujui KUJALI,,huna upendo,,hujui kutambua thamani ya mtu kisa pesa tu,,hapa mwanamke anayejitambua hawezi poteza muda na pesa zako lazima Stoke,,kama pesa akatafute mwenyewe ili mradi apate maisha yenye furaha na amani,,mume bora lazima ujali,,uwe na subra maana wengine mke akishika mimba tu anahamia kambi nyingine noo,,unatakiwa kusimama na mpenzi wako wakati wote,,acha ajivunie penzi lako na siyo kulia kwa mateso yako.
Tuesday, June 4, 2019
Home
Unlabelled
MUME BORA HAISHIWI HURUMA,UPENDO NA UKARIMU KWA MKEWE

About neemasayi
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment