EPUKA MANYANYASO KWENYE MAHUSIANO KWA GHARAMA YOYOTE - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, June 4, 2019

EPUKA MANYANYASO KWENYE MAHUSIANO KWA GHARAMA YOYOTE





Isifikie hatua mapenzi yakakulewesha hadi akili ikashindwa kufanya kazi,,,ukafunga macho pia kujifanya huoni mabaya unayofanyiwa na mwenza wako,,,,,,,huo upendo wa kufanyiwa mabaya kila siku halafu unashindwa kufanya maamuzi sahihi,,,utakuja kugharimu furaha yako maishani,,,Amua kufungua milango yako ya fahamu na ukatae hayo manyanyaso kwa gharama yoyote.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa