CHUKUA HII DADA YANGU - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, June 4, 2019

CHUKUA HII DADA YANGU




1.usiharakishe kutoka nyumbani kwa wazazi wako kwa gia ya kwenda kuishi kwa mwanaume.
2.usimsubiri mwanaume mpaka aje ndo uanze kuishi,,unaweza kuishi maisha timilifu hataa ukiwa huna mwanaume.
3.achana na pombe zimewauwa wenzako wengi kwa kisingizio cha kuondoa stress na wewe unaweza kufa pia.
4.usiwe mtu wa kuziendekeza kuzipokea na kuzijibu namba ngeni za simu hasa nyakati za usiku,,maana sio njia sahihi za kukupatia mpenzi.
5.TENGENEZA mazingira ya kuilinda afya yako,,jitahidi kunywa maji mengi na chakula kwa diet,, achana na viofa ofa vya bure,,vimeshawaponza wenzio mpaka sasa.
6.vaa vizuri na kwa heshima,,watu watavutiwa na wewe ulivyo kabla ya kuongea na wewe.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa