AKIKUONYESHA UPENDO WA DHATI MTHAMINI - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, June 2, 2019

AKIKUONYESHA UPENDO WA DHATI MTHAMINI




Kama kuna kitu unatakiwa kuzingatia ni kumthamini yule anayeonyesha upendo wa dhati kwako,,,,wengi tumekuwa tukichukulia poa upendo tunaopewa na wapenzi wetu,,,,unakuta unavyozidi kumuonesha mapenzi motomoto na ndio kiburi kwake kinakuwa kikubwa na kujiona kuwa yeye ndio yeye,,,,akikwambia kuwa hakuna kama wewe basi usijitie jeuri kuwa hana chaguo zaidi yako,,,bali tambua ameamua kukupa upendo wake aone utauthamini kiasi gani,,,,ukijipa kiburi na kuugeuza upendo unaopewa na mpenzi wako kama fimbo ya kumchapia basi siku akiamua kugeuza mwelekeo basi usilalamike,,,ukipendwa pendeka.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa