ZAMARADI "MUME WANGU HANA JEURI YA KUNIACHA" - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, May 25, 2019

ZAMARADI "MUME WANGU HANA JEURI YA KUNIACHA"



MTANGAZAJI maarufu wa Televisheni ya Clouds, Zamaradi Mketema amesema kuwa watu wengi wamekuwa wakiongea maneno ya kufanya ndoa yake iingie doa ili watengane. Akizungumza na Za Motomoto, Zamaradi alisema kuwa kamwe mumewe huyo ambaye sasa wanakaribia miaka miwili wako pamoja hana jeuri ya kumpa talaka au kumuacha.
“Ni hivi wacha waongee tu vitu wasivyovijua lakini hayo maneno hayawezi kumfanya mume wangu aniache kwa sababu jeuri hiyo hana na wala mimi siwezi kumuacha kwa namna yoyote ile,” alisema Zamaradi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa