WANAWAKE/WADADA MKIPATA NAFASI YA KUOLEWA KUBALI KUOLEWA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, May 16, 2019

WANAWAKE/WADADA MKIPATA NAFASI YA KUOLEWA KUBALI KUOLEWA




Kuna tatizo hapa,,kuna umri unakuta mdada anapaswa kuolewa ila kwasababu yeye ni mzuri wa sura au umbo au ana mali anakataa anataka aendelee kuponda raha,,,basi kila mtu atamchezea anavyotaka,,,inapofikia muda sasa ,dada huyu anatamani apate familia yake,unakuta hakuna tena wa kumuoa,,,ila wanakuwepo wa kutoka nao out,kula au kunywa,,,ukiwa kwenu hapa ndipo muda wa majuto unapokuja,,.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa