WANAPOFELI WANANDOA NI HAPA!! - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, May 13, 2019

WANAPOFELI WANANDOA NI HAPA!!



Mwanzo katika mahusiano ya ndoa,,wanandoa hupendana,,hupeana moyo,,husikikilizana,,husaidiana,,hujaliana,,,,zaidi ya yote kitandani wote wawili huwa wanajituma na kufurahia tendo la ndoa,,,kadri siku zinavyozidi kusonga mbele,,unakuta inaibuka tabia ya kumzoea mwenza wako na kuwa mvivu,,,,
Wakumpenda,,kumjali,,kumthamini,,kumhudumia hadi kufika steji tendo la ndoa linakuwa kwa nadra tena kuna muda raundi moja tu,,,,ndio inakuwa raundi sugu kwenye penzi lako,,,unakuta hata hiyo moja yenyewe ni sekunde kadhaa tu,,kisha usingizi mzito,,,UVIVU WA KITANDANI KWA WANANDOA WOTE IMEKUWA CHANZO CHA USALITI KWA KIWANGO KIKUBWA,,, Guys tukidhi haja za wenza wetu kuepuka kuwaacha wenza wetu na hamu ya tendo,,,hadi kufikia hatua ya kutafuta wa kummaliza haja zake

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa