UTAFITI: WANAOCHELEWA KULALA WAPO HATARINI KUFA MAPEMA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, May 28, 2019

UTAFITI: WANAOCHELEWA KULALA WAPO HATARINI KUFA MAPEMA



Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Surrey cha nchini Uingereza umebaini kuwa watu wanaochelewa kulala wana uwezekano mkubwa wa kufa mapema kuliko wanaowahi kulala
Msingi wa utafiti huo ni kwamba watu wanaolala muda mzuri na kuamka mapema wanaweza kuishi muda mrefu ukilinganisha na wale ambao wanachelewa kulala
Matokeo ya utafiti huo umechambua sampuli ya watu laki 5 wenye umri wa miaka 30 hadi 73 ambao walifuatiliwa tabia za ulalaji wao kwa zaidi ya miaka 6 na nusu

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa