USIINGIE PENZINI KICHWAKICHWA...! - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Wednesday, May 22, 2019

USIINGIE PENZINI KICHWAKICHWA...!





1.Umekubali kumuweka mtu mikononi,akilini na moyoni mwako.
2.umekubali kuyabeba madhaifu ya yule unayempenda na zaidi kumsaidia kuimarika katika safari yenu ya maisha ya upendo.
3.Umekubali kuunganika na yule unayempenda peke yake na siyo na mtu mwingine,,yaani Umekubali kubeba msalaba wa maisha ya uaminifu siku zote za maisha yako.
4.Umekubali kufunga moyo wako na kufunga macho yako kwa wengine wote ambao hawana nafasi ndani ya moyo wako,,kwani njia ya kujitoa kwa hali na Mali kumpenda,kumthamini na kumpokea kwa dhati yule unayempenda.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa