THAMINI FURAHA NA TABASAMU LA MWENZA WAKO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, May 25, 2019

THAMINI FURAHA NA TABASAMU LA MWENZA WAKO



Jua mwandani wako anategemea tabasamu na furaha bila kusahau amani toka kwako,,,,,ukishindwa kufanya hivyo wakati yeye anajitahidi kadri ya uwezo wake kukupa furaha basi utakuwa hujamtendea haki,,,,,mapenzi ni ya kwenu,,,,kila mmoja awe na Uhuru kwa mwenzake,,,,,,mkiishi kwenye uhalisia na ukweli wa maisha basi tamaa na usaliti vitakaa mbali hivyo kufiki malengo yenu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa