TATHIMINI FAIDA NA HASARA ZA KWENYE MAHUSIANO YAKO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, May 25, 2019

TATHIMINI FAIDA NA HASARA ZA KWENYE MAHUSIANO YAKO



Yawezekana bado huamini au huna uhakika kama mahusiano uliyopo ni yenye mwelekeo au ni kupotezeana muda,,,,,,kuna wakati inabidi ukae na utathimini faida na hasara za kwenye mahusiano yako,,, yawezekana mahusiano yako wewe kila siku ni ya kukutoa machozi na cha kushangaza huyo anayekutoa machozi hajali chochote,,,,,
Wengi huwakimbilia wale wenye maneno ya uongo na kuwaacha wale walio wa kweli na vitendo halisi,,,,ukweli na uhalisia wa maisha umepungua na ndo maana wengi hujutia mahusiano yao,,,,

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa