SIRI KUU YA KUMLINDA MPENZI WAKO HII HAPA!! - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, May 16, 2019

SIRI KUU YA KUMLINDA MPENZI WAKO HII HAPA!!



Mpenzi halindwi na Alarm wala hawekewi Tracker,analindwa na Mahaba na Care unazompa.Ukimpa Mahaba Niue Nife Nayo basi atakuwa wako daima dumu,atajilinda mwenyewe na hataenda nje maana hakuna kipya kule ambacho kwako hapati,Ukimpa Mahaba ya Kibaba cha Mafuta shallow,basi atatafuta mtu wa kujazilizia kwenye gepu!
Usipoteze muda kukaba nyendo za mpenzi wako kama beki wa Yanga,Invest kumridhisha Mpenzi wako kwenye kila idara ya Penzi lenu ili Mahaba yenu yabaki salama lasivyo jiandae kuwa mlinzi wa KK Security Night Shift bila gwanda!

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa