NAWAKUMBUSHA TU - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, May 18, 2019

NAWAKUMBUSHA TU





Ukijijua unaenda kwa mpenzi wako kwa ajili ya sex au unaishi na mwenza wako muda wowote atahitaji sex,,zingatia haya;
1.usafi wa kunywa
Jitahidi kupiga mswaki isipungue mara mbili kwa siku na ikibidi kila baada ya chakula
2.usafi wa mwili
Jitahidi Sana kuoga vizuri na kujisugua,,kuna wanaume wamekuwa wakitoa harufu kali(kip*mb*)hii inaondoa hamu ya mwenza wako kuhitaji tendo la ndoa,,vivyo hivyo mwanamke jitahidi kuosha uke vizuri na kujitawaza vizuri ili ilete hamasa ya mtu kuzama chumvini bila kusikia harufu mbaya,,kama haitoshi wapo wanaopenda kunyonywa mk*and*,,jitahidi kuoga vizuri na kujitawaza ili iwe raha kwa mnyonyaji.
3.Nyoa v*zi na kwapani angalau kila baada ya wiki moja au mbili ila sio zaidi ya hapo,,hii itakufanya usitoe harufu mbaya
4.kuoga au kuosha vizuri uke au uume baada ya tendo,,hii inasaidia kuleta tena hamu ya tendo,,ni uchafu kutooga au kunawa baada ya tendo,unakuta mtu anafuta tu na kitambaa na analala,,huo ni uchafu.
5.jitahidi kuvaa chupi au boksa safi,,kwa wadada vaa kichupi ambacho kitaamsha ny*ge za mwenza wako NA sio kuvaa jichupi jeusi baya au chupi chafu,,hiyo itakushushia thamani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa