NATAKA NILE MZIGO WA DEMU MWENGINE SIKU MOJA KABLA YA NDOA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, May 26, 2019

NATAKA NILE MZIGO WA DEMU MWENGINE SIKU MOJA KABLA YA NDOA


Wanabodi habarini??
Kuna jambo limenitokea hapa sijui kama ni ww ungefanyaje.
Mishe zangu napigia dukani MB,kuna dada mmoja kajenga mazoea sana na mimi kiasi kwamba kama hana kazi hom anakuja dukani tunapiga stori sana. Huyu dada ameonekana kunielewa sana sijajua sababu nipo dukani ama laa.
  1. Kwa muda sasa sijawahi kutongoza mwanamke yeyote hapa sababu:-
1. Naogopa virungu(kufilisiwa)
2. Nina mchumba (akaribia kuoa)
3. Dhambi ya Uasherati (nikifanya ngono bila ndoa)
Visa na mitego mingi navikwepa,juz katika stori kachomekea"hajawahi kufanya mapenzi na men bila kupima" nikamwambia kama mimi nisingekubali kwenda kupima ndio nije kufanya,akaingia mazima na kusema "fanya mpango tukapime mimi na wewe" nikamjib sababu gani?akasema anataka KUNIBARIKIA NGOZI YAKE.
Binafsi nina ugwadu wa toka 2017 sa najiuliza, siwezi kuingia hasara kweli kulingana na sababu za hapo juu??
Naoa mwez wa 8 mke wangu hatodharaulika kweli? Vipi kuhusu dhambi??
Dada mkali lakini ndo ivyo vikwazo nifanyeje???
Asanteni nathamini kila mchango wa kila mtu najua utanijenga kwa namna 1 au ingine.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa