MTHAMINI MTU AMBAE ANAKUPA FURAHA KIPINDI CHA HUZUNI - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Friday, May 24, 2019

MTHAMINI MTU AMBAE ANAKUPA FURAHA KIPINDI CHA HUZUNI



Kuna watu wanapata bahati ya kumkuta mwanaume/mwanamke ambae anakuwa mfariji pindi wanapokuwa na huzuni,,lakini wengi wao wanapoona wanafarijiwa wanaona ni hali ya kawaida tu kupata mwenzi wa aina hiyo,,,lakini ukweli ni kwamba unaweza hata kuwa na mwenza ambaye hajui hata kusema pole unapokuwa na hali ya tofauti,,,,kwahiyo ukipata mwenza anayekufariji mpaka unaona njia ya kuwa na furaha tena basi jaribu kumthamini ili uwe nae siku zote.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa