MATIKITI+MALIMAO NI VIAGRA YA ASILI - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Friday, May 31, 2019

MATIKITI+MALIMAO NI VIAGRA YA ASILI



Ebwanaee ,hii ni Viagra kweli ya asili, siku za karibuni niliona mziki umepungua kwa mke wangu, kutokana na kuwa bize kutafuta mkate wa kila siku, masomo, n.k nikaona kabisa kasi imepungua, basi wife akawa analalamika ,nikaona hapa kuna kusaidiwa,basi baharia nikazama jf kisiwa cha elimu, kuna Uzi uliwahi kuletwa humu miaka ya 2010 kama sikosei,
Nikafata maelezo, mahitaji ni vitu viwili tu. ,Matikiti na malimao,
Wife akatengeneza juisi ya matikiti ,akaichemsha huku anakamulia malimao, baadae akaiweka kwenye friji, kabla ya kulala nikanywa kikombe kimoja, baadae ya nusu SAA nilipiga show ambayo ni Mara mbili ya siku zote,
Wife nilimwambia hiyo dawa ni yakupunguza kitambi, sikumdokeza ni yanini, kwa kweli alifurahia show,hii ni zaidi ya vumbi la Kongo/mundende a.k.a puturu
Ninachotaka kusema achen kuhangaika na madawa ya viwandani, tumien vitu vya asili,,
Hii nimeprove mwenyewe ,nimeamini kuna dawa simple tu, ila hatuzitumii na kuziamini, tunakimbilia kemikali za viwandani.
Asanteni wana MMU, kwa atakayejaribu au alishajaribu ,leta mrejesho, tuwaridhisheni wake zetu ,raha ya ndoa kukojozana,sio kuchafuana

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa