MAPENZI YA KWELI HAYAJENGWI NA UPENDO WA SIKU YA KWANZA MLIYOKUTANA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, May 25, 2019

MAPENZI YA KWELI HAYAJENGWI NA UPENDO WA SIKU YA KWANZA MLIYOKUTANA






Mapenzi halisi hayajengwi kwa upendo mliouonesha mwanzo wakati mnakutana bali ni kutokana na upendo mnaozidi kuuonesha kila siku katika mapenzi yenu katika kila hali mnazopitia,,mapenzi ya kweli yanavumilia hali ngumu pamoja na mapito mnayopitia kama wapendanao,,,,kwahiyo mapenzi yenu yatakuwa ya kweli kama mtapitia magumu ya kuwa fanya hata kutengana lakini mtapigania penzi lenu ili muwe pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa